Nchi badala ya kusonga na fikra za watu zisongeSasa anatembea ili iweje kuonyesha uzalendo au.
Hivi ana familia kweli inayomtegemea?
Ana kazi?
Hii pia ni kufuja muda.
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Ujima hauna mbadala,yaani hata kibiriti hakuna hivyo lazima upekeche vijiti,sasa huyu kafanya hivyo na magari yapo,na tena usifikiri nauli hana au hawezi kupata ni mambo tu ya "Weka Rekodi,Vunja Rekodi" wala si nchi kurudi nyuma kwenye zama za ujima kama ulivyosema.Nchi badala ya kusonga na fikra za watu zisonge
Inarudi nyuma kwenye zama za ujima kwa kasi kubwa sana,
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko wapi saizi huyuView attachment 1057365
View attachment 1057366
Huyu ni shabiki wa Simba,Simba lialia ameanza safari ya kutoka Mbeya kuja Dar kwa miguu kuja kumshuhudia Mnyama Simba katika mechi yake na TP Mazembe
Ni zaidi ya km 700 mkuu!!Mbeya to dar ni km 700. Sasa kadiria kwa siku atatembea km35 inamaana atatumia 20 days. Siyo rahisi kuweza kutembea kila siku miguu itachubuka lazima.
Kashafika ChalinzeHadi afike dar world cup ishaanza[emoji1321][emoji3603]
Huyu anatembea kwa spidi ya hatari, tena halali usiku na mchana, siku tatu zilizopita, alikuwa Mafinga Leo Chalinze kama kilomita 450, yaani uwezo wake wakutembea ni zaidi ya kilomita 100 kwa siku, hii ni rekodi ya dunia