mikum hawaruhusu kupita kwa mguu... pale anavushwa na garAtapitaje mikumi
Ukiambiwa thibitisha kuwa kapanda pikipiki utaweza??Wewe sema tu siamini kama katembea,lakini ya kusema kapanda pikipiki wakati hujamuona achana naloHuyo ni mnafik kaja kwa pikipiki
Ili tusiweke ligi zaidi,jipimie wewe tu kwenda moro kwa mguu utachkua siku ngapi,,,,!!halaf fah kuwa dar Moro km200na kitu
Fikiria Dar mbeya[emoji38]km elf na kitu
Mkuu wewe ukitembea kuanzia msimbazi hadi kimara lazma ulale na imani hapo hadi korodani zinamwaga ukungu wa jasho[emoji38]
Umejuaje??kama MTU hajawahi kukuona ukinywa maji unadhani ana haki ya kusema hujawahi kunywa maji maisha yako yote??
Maana nakumbuka kombe la dunia la Russia kuna shabiki alitoka Korea kwa baiskeli na alionyeshwa na vyombo vingi vya habari kama shabiki wa kweli na kupewa pongezi nyingiAngekuwa mzungu mngeona kawaida kwakuwa n mbongo mna hate.... sio poa watanzania.... tumsupport mwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajui huko mikoani hata hao simba huwa tunawapanda mgongoni kama farasi na hawafanyi kitu,Yaani koment nyingi za wavulana wa dar eti ni jinsi gani atavuka mbuga ya mikumi kwakuwa kuna wanyama wakali kama simba, kidume kimeshayajua hayo kabla hamjafikiria hayo huku mikoani simba sio issue kivile kwakuwa tumeshawazoea tunapishana nao porini daily,
Ila sishangai kwakuwa nyie huko panya tu akiingia ndani hamulali, subiri mumpokee then mumuulize huyo mwanaume amevukaje mikumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mko vizuri wazee,wapi huko??Hawajui huko mikoani hata hao simba huwa tunawapanda mgongoni kama farasi na hawafanyi kitu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kama dakika 15 zilizopita nimepisha nae picha ya ndege kibaha, katoboaKiuhalisia jamaa sio rahisi kufika dar kutoka mbeya kwa miguu tuacheni ushabiki kama nyie wa mikoani mnaweza tembea magar mnapanda ya nini...kingine huko porini huyo simba mwenyewe hajui kama anaitwa simba anachojua ni kuwinda na kula tuh boya yeyote ataepita hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Mimi nlikuwa stand mpya Kibaha Nikamuomba akiwa na wapambe wake... Wanamshangilia... Dakika kadhaaa zilizopita! Ila Siamini hekaya hz!Jamaa kama dakika 15 zilizopita nimepisha nae picha ya ndege kibaha, katoboa
Mbeya to dar ni km 700. Sasa kadiria kwa siku atatembea km35 inamaana atatumia 20 days. Siyo rahisi kuweza kutembea kila siku miguu itachubuka lazima.