Shabiki anatembea Mbeya kuja Dar kuishuhudia Simba na TP Mazembe

Shabiki anatembea Mbeya kuja Dar kuishuhudia Simba na TP Mazembe

Huyo ni mnafik kaja kwa pikipiki
Ili tusiweke ligi zaidi,jipimie wewe tu kwenda moro kwa mguu utachkua siku ngapi,,,,!!halaf fah kuwa dar Moro km200na kitu
Fikiria Dar mbeya[emoji38]km elf na kitu
Mkuu wewe ukitembea kuanzia msimbazi hadi kimara lazma ulale na imani hapo hadi korodani zinamwaga ukungu wa jasho[emoji38]
Ukiambiwa thibitisha kuwa kapanda pikipiki utaweza??Wewe sema tu siamini kama katembea,lakini ya kusema kapanda pikipiki wakati hujamuona achana nalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana hata chupa ya maji

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia mkono wake wa kushoto kashika nini
tapatalk_1554356036427.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani koment nyingi za wavulana wa dar eti ni jinsi gani atavuka mbuga ya mikumi kwakuwa kuna wanyama wakali kama simba, kidume kimeshayajua hayo kabla hamjafikiria hayo huku mikoani simba sio issue kivile kwakuwa tumeshawazoea tunapishana nao porini daily,

Ila sishangai kwakuwa nyie huko panya tu akiingia ndani hamulali, subiri mumpokee then mumuulize huyo mwanaume amevukaje mikumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajui huko mikoani hata hao simba huwa tunawapanda mgongoni kama farasi na hawafanyi kitu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nazani kuna vipande ataomba lift atatembea sehem ambayo kuna watu wengi ili wamuone ..ila ni ushabiki uliofika level ya ujinga na hata angekua mzungu isingebadili huo ujinga wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiuhalisia jamaa sio rahisi kufika dar kutoka mbeya kwa miguu tuacheni ushabiki kama nyie wa mikoani mnaweza tembea magar mnapanda ya nini...kingine huko porini huyo simba mwenyewe hajui kama anaitwa simba anachojua ni kuwinda na kula tuh boya yeyote ataepita hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiuhalisia jamaa sio rahisi kufika dar kutoka mbeya kwa miguu tuacheni ushabiki kama nyie wa mikoani mnaweza tembea magar mnapanda ya nini...kingine huko porini huyo simba mwenyewe hajui kama anaitwa simba anachojua ni kuwinda na kula tuh boya yeyote ataepita hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kama dakika 15 zilizopita nimepisha nae picha ya ndege kibaha, katoboa
 
Kuna jamaa kama chizi huwa anatoka Ilula kwa miguu kwenda Morogoro mjini. Kwa wale madereva wa maroli huwa wanamwita kumpa lifti huwa anakataa.

Jamaa huwa anaipasua Mikumi kwa miguu na kila wiki lazima umuone barabarani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia " KITU YA MBEYA" imeshashinda kwa mbali " KITU YA ARUSHA @ CHUGA" na " KITU YA TARIME"
 
Back
Top Bottom