Shabiki anatembea Mbeya kuja Dar kuishuhudia Simba na TP Mazembe

Shabiki anatembea Mbeya kuja Dar kuishuhudia Simba na TP Mazembe

Write your reply...huyo shabiki nilimkuta njombe
nikamuambia
acha ujinga Wewe simba wa mikumi hawezi kujua wewe ni shabiki wake
 
Wanaume wa daslam bhana, basi tuseme hajatembea kote alikotoka hebu na nyie tembeeni toka huko mliko hadi picha ya ndege tu dadeki zenu.
 
Mbeya to dar ni km 700. Sasa kadiria kwa siku atatembea km35 inamaana atatumia 20 days. Siyo rahisi kuweza kutembea kila siku miguu itachubuka lazima.
Acha uzembe wewe mbona hata 100km mtu anatembea kwa siku! Mie binafsi naweza amka saa 11 alfajiri nikaanza kutembea mpaka kufikia 11 jioni nikawa naitafuta chalinze! Niwe na earphones nzuri nakula mziki taratibu tu na chupa yangu ya maji!
 
Kabisa mkuu,Nimewahi kusukuma 120Km kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa nne usiku

Tip: Lazima upake mafuta kwenye mapaja ili kupunguza friction laa sivyo utafika na vidonda mapajani
 
Kabisa mkuu,Nimewahi kusukuma 120Km kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa nne usiku

Tip: Lazima upake mafuta kwenye mapaja ili kupunguza friction laa sivyo utafika na vidonda mapajani
Yeah mkuu, nakubali kabisa. Ikibidi unakula pensi nyanya za mazoezi zile ambazo hazibani mapaja. Juu una cap yako flani, unafika freshi kabisa!
Hizo 35km ni ndogo kwa mtu mwenye pumzi na speed ya kutembea.
 
Keshafika dar huyo!! Nyie wtoto was mjini mmezoe daladala mnaona shida kutembea
 
Back
Top Bottom