Hizi ni emotion tu za kawaida atachunguzwa kama hana mafungamano na MKIRU ataachiwa kwa karipio kali
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Disturbing the peaceKwani anatakiwa kufungwa???
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Anaweza fungiwa mechi kadhaa kuingia uwanjani na TFF japo kwa mifumo yetu hawawezi mkumbuka tena.Wala hakuna kesi hapo, ila jamaa ni jasiri
WA dar waoga atakuwa katoka mikoani.Wanaume wa Dar mnavichekesho ninyi
Mtaje uwe mmoja wapoYupi ?
Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
Unafikiri yeye hana akili ya kuwasoma. Tena alijua atakamatwa.polisi wa kibongo hovyo sana yani hadi mtu anatoka jukwaani alikokaa anaruka anaingia kiwanjani na kukata mbuga hadi kumfikia rooney na kumkumbatia wao wamezubaa tu..!
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Duh! Hii nchi imenishinda
Usiwe na hisia sana za kila kitu ushoga bro maisha mbona rahisi sana hii inatokea mara nyingi mwisho wa siku maisha yanaendeleaMtoto wa kiume, unamkimbilia Wayne Rooney na kumkumbatia, huo ni Ushoga
Huyu nae atakuwa MUHENGA-Kijana anayejulikana kwa jina la Hassan maarufu kama Hans Jr kunako dakika ya ishirini kwenye mchezo wa everton vs gor mahia alivamia uwanja na kwenda kumkumbatia Wayne Rooney mchezaji wa Everton. Hans alisema ndoto yake ilikuwa ni kumkumbatia Rooney na imetimia Baada ya kuruka kutoka jukwaani na kumkimbilia Wayne Rooney.
Mja asili haachi asili na akiacha asili si jasiri hiyo imedhirika katika uwanja wa taifa Jijini Dar es salaam baada ya staa aliyekuwa anasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka Tanzania Wayne Rooney kuchungulia nyavu za miamba wa kenya Gor mahia kuindikia goli la kuongoza kwa
Chanzo: Salehjembe