Shabiki avamia uwanja na kumkumbatia Rooney

Shabiki avamia uwanja na kumkumbatia Rooney

Hizi ni emotion tu za kawaida atachunguzwa kama hana mafungamano na MKIRU ataachiwa kwa karipio kali

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app


hahahahah eti mfungamano na mkiru! hahaha!pale tushapigwa bao
 
Ndo mjue mpira anaujua mzungu tu, lile goli ni la mahesabu yaan hawa jamaa wana mazoezi makali ya kufunga magoli kiukweli
Na mkulima hachagui jembe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huyo samatta wenu kaenda uwanja wa Azam fc nakwambia etii mdogo hawezi kupachika goli [emoji4][emoji4][emoji4]
 
IMG-20170713-WA0060.jpg


Alinena hapa
 
polisi wa kibongo hovyo sana yani hadi mtu anatoka jukwaani alikokaa anaruka anaingia kiwanjani na kukata mbuga hadi kumfikia rooney na kumkumbatia wao wamezubaa tu..! kazi yao ni kukodolea macho mpira badala ya kuangalia mashabiki kwenye majukwaa wanafanya nini ambako ndo kazi hasa iliyowapeleka hapo kiwanjani

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Kama lengo lake ni hilo tu na hana madhara ataachiwa maana watu wenye mihemko ya kuwahabikia nyota wako wengi.Yawezekana walikuwa wengi tu waliotamani hata kumshika mkono pindi angepita karibu na mashabiki wake.Hata hivyo hivi ni vitendo vya kawaida kwa mashabiki kutunia fursa adimu kutimiza ndoto zao hata kwa kuleta taharuki kuingia ndani uzio wa uwanja au hata huko mitaani atakapopita nyota anayehusudiwa. Mtu yuko radhi hata apigwe na nyota anayemhusudu.
 
Hivi nikisema huyo atakuwa shabiki wa simba mtanipinga au nitakuwa nimekosea
Labda nijilinde
Shabiki wa Simba hupenda kuvaa t shirt / jezi nyekundu
Aliye mkumbatia Rooney amevaa jezi nyekundu
Hivyo aliye mkumbatia Rooney ni Shabiki wa Simba Sport
( ni utani wa jadi )

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
 
kwahiyo tokea anazaliwa alikua anaenda shule ili aje kumkumbatia Rooney?? Huyu atakua Ukawa tu, tena Chadema.
 
polisi wa kibongo hovyo sana yani hadi mtu anatoka jukwaani alikokaa anaruka anaingia kiwanjani na kukata mbuga hadi kumfikia rooney na kumkumbatia wao wamezubaa tu..!

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Unafikiri yeye hana akili ya kuwasoma. Tena alijua atakamatwa.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Mtoto wa kiume, unamkimbilia Wayne Rooney na kumkumbatia, huo ni Ushoga
Usiwe na hisia sana za kila kitu ushoga bro maisha mbona rahisi sana hii inatokea mara nyingi mwisho wa siku maisha yanaendelea

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Mbona masamaki kaachiwa bhana, hebu wamuache aisee hamna kosa hapo

Sent from my GT-N5100 using JamiiForums mobile app
 
-Kijana anayejulikana kwa jina la Hassan maarufu kama Hans Jr kunako dakika ya ishirini kwenye mchezo wa everton vs gor mahia alivamia uwanja na kwenda kumkumbatia Wayne Rooney mchezaji wa Everton. Hans alisema ndoto yake ilikuwa ni kumkumbatia Rooney na imetimia Baada ya kuruka kutoka jukwaani na kumkimbilia Wayne Rooney.


Mja asili haachi asili na akiacha asili si jasiri hiyo imedhirika katika uwanja wa taifa Jijini Dar es salaam baada ya staa aliyekuwa anasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka Tanzania Wayne Rooney kuchungulia nyavu za miamba wa kenya Gor mahia kuindikia goli la kuongoza kwa








Chanzo: Salehjembe
Huyu nae atakuwa MUHENGA

Sent from my XBO V7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom