Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeeeee!!! Hyo ndo
Dar mji wa bashite
Skuhiz mabwabwa ndo
Yamejaza huo mji
Triple A
Hongera zake![]()
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Alf utaskia zenj ikisema hakunaToka zamani sema tu siku hizi wako free zaidi ndiyo maana serikali ikahamua kuingilia ndani kwa kusema wakikamata shoga anachukuliwa hatua. Pia na kwenda Zanzibar sana kunachangia ushoga.....vijana wa bongo fleva wanakwenda Zenji kwenye ile film festival kupakuliwa na wazungu, wakirudi huko bara wanajiweka hadharani kwa kusuka nywele, kuvaa hereni, pini puani wakijinadi.
wewe sio shabik wa kabumbuHuyu ni kumshikisha adabu ili asirudie na iwe funzo kwa wengine.. Sbb kashaharibu mood ya mpira na wachezaji.. Inatisha na wachezaji wanaweza sema Tz sio salama uwanjani.. Meaning ulinzi sio mkali watasema hivyo.. Dawa ni kumpiga bakora 10 kila siku kwa siku 10.. Iwe funzo
Njoo huku Somalia 😀😀Duh! Hii nchi imenishinda
sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Bahati mbaya Mkuu, hata huko Uropa huwa inatokea maranyingi pamoja na uwepo wa ulinzi imara,polisi wa kibongo hovyo sana yani hadi mtu anatoka jukwaani alikokaa anaruka anaingia kiwanjani na kukata mbuga hadi kumfikia rooney na kumkumbatia wao wamezubaa tu..! kazi yao ni kukodolea macho mpira badala ya kuangalia mashabiki kwenye majukwaa wanafanya nini ambako ndo kazi hasa iliyowapeleka hapo kiwanjani
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Siasa imetafuna ubongo vilivyo!!kwahiyo tokea anazaliwa alikua anaenda shule ili aje kumkumbatia Rooney?? Huyu atakua Ukawa tu, tena Chadema.
Haya mambo katika soka huwa yanatokea haswa kwa wachezaji maarufu!!Rooney na wenzake wanaonekana wazi wazi hawakufurahia kitendo hicho,wako horrified totally - Waswahili wanao mpigia debe kijana huyo mimi siwaelewi kabisa - emotions hizi zilizopitiliza mipaka uwakumba zaidi wanawake/wasichana kwenye kumbi za miziki wanapo vamia stage kukumbatia muimbaji nk, hiyo inaeleweka - lakini kwa upande wa wanaume hiyo ni nadra sana -binafsi nachukulia tukio la leo uwanjani lina element ya u-lunacy au kitu kingine cha ziada si bure!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1]harmorapa kaikosaje
Usicheze ma mapenzi wewe, hata mi namuunga mkonoHii nayo ni aina fulani ya kichaa.