Shabiki avamia uwanja na kumkumbatia Rooney

Shabiki avamia uwanja na kumkumbatia Rooney

Nampa big up sana jamaa kwa kutimiza ndoto yake
 
Aiseeeeee!!! Hyo ndo
Dar mji wa bashite
Skuhiz mabwabwa ndo
Yamejaza huo mji

Triple A

Toka zamani sema tu siku hizi wako free zaidi ndiyo maana serikali ikahamua kuingilia ndani kwa kusema wakikamata shoga anachukuliwa hatua. Pia na kwenda Zanzibar sana kunachangia ushoga.....vijana wa bongo fleva wanakwenda Zenji kwenye ile film festival kupakuliwa na wazungu, wakirudi huko bara wanajiweka hadharani kwa kusuka nywele, kuvaa hereni, pini puani wakijinadi.
 
44455479acb78988a76f866a97511f65.jpg

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Hongera zake

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Nimefurahishwa na wale maaskari waliokuwa wanamkimbiza! Hoooi, utafikiri walikimbia mara ya mwisho wakiwa CCP
 
Toka zamani sema tu siku hizi wako free zaidi ndiyo maana serikali ikahamua kuingilia ndani kwa kusema wakikamata shoga anachukuliwa hatua. Pia na kwenda Zanzibar sana kunachangia ushoga.....vijana wa bongo fleva wanakwenda Zenji kwenye ile film festival kupakuliwa na wazungu, wakirudi huko bara wanajiweka hadharani kwa kusuka nywele, kuvaa hereni, pini puani wakijinadi.
Alf utaskia zenj ikisema hakuna
Mashoga huko wakat huko ndo
Wanaanzia kupakuliwa

Ndo maana unaona saloon/barbershop
Nyingi skuhiz n wanaume hawa
Mabwabwa ndo wanafanyw hyo kaz

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Huyu ni kumshikisha adabu ili asirudie na iwe funzo kwa wengine.. Sbb kashaharibu mood ya mpira na wachezaji.. Inatisha na wachezaji wanaweza sema Tz sio salama uwanjani.. Meaning ulinzi sio mkali watasema hivyo.. Dawa ni kumpiga bakora 10 kila siku kwa siku 10.. Iwe funzo
 
wewe sio shabik wa kabumbu

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
nilisema mimi katika uzi fulani kiwawatu washajiandaa[emoji23]

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
polisi wa kibongo hovyo sana yani hadi mtu anatoka jukwaani alikokaa anaruka anaingia kiwanjani na kukata mbuga hadi kumfikia rooney na kumkumbatia wao wamezubaa tu..! kazi yao ni kukodolea macho mpira badala ya kuangalia mashabiki kwenye majukwaa wanafanya nini ambako ndo kazi hasa iliyowapeleka hapo kiwanjani

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Bahati mbaya Mkuu, hata huko Uropa huwa inatokea maranyingi pamoja na uwepo wa ulinzi imara,

Kunamashabiki wanamihemuko na upenzi uliopitiliza.
 
kwahiyo tokea anazaliwa alikua anaenda shule ili aje kumkumbatia Rooney?? Huyu atakua Ukawa tu, tena Chadema.
Siasa imetafuna ubongo vilivyo!!

Wewe Mpira huwa unaangalia...?

Hapa hakuna jipya hata viwanja vya Uropa yanatokea haya.
 
Rooney na wenzake wanaonekana wazi wazi hawakufurahia kitendo hicho,wako horrified totally - Waswahili wanao mpigia debe kijana huyo mimi siwaelewi kabisa - emotions hizi zilizopitiliza mipaka uwakumba zaidi wanawake/wasichana kwenye kumbi za miziki wanapo vamia stage kukumbatia muimbaji nk, hiyo inaeleweka - lakini kwa upande wa wanaume hiyo ni nadra sana -binafsi nachukulia tukio la leo uwanjani lina element ya u-lunacy au kitu kingine cha ziada si bure!!
Haya mambo katika soka huwa yanatokea haswa kwa wachezaji maarufu!!

Hii pia iliwahi kutokea kwa CR7 Real madrid vs Basel mechi ya uefa 2014.

Mambo ya soka tuwaachie wanasoka!!
 
Siku real Madrid ikija mnistue [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] maana Ronaldo atanihusu siku hiyo
 
Back
Top Bottom