Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Nobaki naosi iwe mshaija Hiyo ni according to your own perceptions lakini hicho kitu kipo na kinatokeaga Mara nyingi uwanjani, watu wanatafta namna ya kukaa kwenye font fed na mpaka mda huu akafanikiwa azma yake.Rooney na wenzake wanaonekana wazi wazi hawakufurahia kitendo hicho,wako horrified totally - Waswahili wanao mpigia debe kijana huyo mimi siwaelewi kabisa - emotions hizi zilizopitiliza mipaka uwakumba zaidi wanawake/wasichana kwenye kumbi za miziki wanapo vamia stage kukumbatia muimbaji nk, hiyo inaeleweka - lakini kwa upande wa wanaume hiyo ni nadra sana -binafsi nachukulia tukio la leo uwanjani lina element ya u-lunacy au kitu kingine cha ziada si bure!!
Teh teh teh!!!!Huyu ni kumshikisha adabu ili asirudie na iwe funzo kwa wengine.. Sbb kashaharibu mood ya mpira na wachezaji.. Inatisha na wachezaji wanaweza sema Tz sio salama uwanjani.. Meaning ulinzi sio mkali watasema hivyo.. Dawa ni kumpiga bakora 10 kila siku kwa siku 10.. Iwe funzo
Nan kakwambia uwanjani wanaingia na bisu.????Hivi mfano angemtia bisu wyne rooney ingekuwaje kwa sasa?
We endelea na siasa tu mpira sio nyanja yako.Wewe unaweza kuchukulia tukio hili kama ni la kawaida, unacho sahau wazungu wasio penda penda Waafrika na Continent lenywe wanaweza kuanza kujenga hoja kwamba Tanzania si nchi salama kwa wachezaji wa mpira kutoka Ulaya, tukajikuta tunapigwa vita
/propaganda za kutuharibia sifa kimataifa kutokana na ujinga wetu wa kushabakia uwenda wazimu wa mtu mmoja. Nyie mnafikiri kwa nini gazeti moja la Uingereza lilitangaza kwamba Dar ni kijiji cha wavuvi mnafikiri propaganda hizo ni za bahati mbaya - je, wakipata tetezi kwa kile kilicho mtokea Rooney uwanjani mnafikiri tabloid za Uingereza zitakuja na stori gani, si ndiyo itakuwa balaa.
Inakuwaje mtu anaruka uzio anamkimbilia Rooney na Walinzi wanamwangalia tu, wanakuja kuzinduka amekwisha mvaa Rooney, je, kama angekuwa amerukwa akili akamfanya lolote Rooney Wizara ya michezo ingetoa ufafanuzi/maelezo gani - haya si mambo ya kuchukuliwa lightly hata kidogo. Angalieni tena picha za tukio, je, nyuso za wachezaji/wageni zinaonekanaje? kuna anaye tabasamu au kucheka, hakuna; angalia mkono wa kulia wa Rooney unaonekanaje - alikuwa kwenye harakati za kujihami, actually anamsukuma jamaa na uso ameukunja kabisa!! Wamekasirishwa na tukio hilo hata kama awasemi dhahili kwa hivi sasa lakini body languages zao speaks VOLUME.
Hata Ulaya hizi mambo zipo labda kama ww Co mfuatiliaji wa mpira lazima utadhani ni Africa peke yakeSometimea waAfrica tunajiaibisha tu.huyu mtu unaweza kuta toka utotoni mwake mpaka leo hajawahi kumkumbatia mama yake wala baba yake.
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Huenda jamaa hafuatilii mpira mbona mbele haya mambo yapoMkuu mbona unawasemea wewe, kwenye soka hapo hakuna jipya. Ukisema wazungu hawapendi waafrika kwa kiasi hicho unakosea sana, ubaguzi upo kwa kiasi chake but sivyo unavyodhani. Kwa waliotembea nchi za wenzetu wanalijua hilo, kizazi cha sasa cha wenzetu mnajimix ile mbaya mkuu na mimi hilo nimeshuhudia sana, mkiwa huko watoto unawapiga mashine tu wala huo ubaguzi si kihivyo. So wala usihofu kwa ulimwengu wa soka hilo kawaida sana sana.
Wana bahati sikuwapo uwanjani, ilikua timu yangu ya kitaa tuingie wote kuanzia kwa Koeman, Leighton Baines, Rooney, Barry etc! Wana bahati hatukuja!!Ametimiza ndoto aiseeeh
Kaipata, atakumbukwa daima kama yule jamaa aliyevamia uwanja na kumkumbatia rooney everton ilivyokuja Tz.Naona Anatafuta Kick kwa Pikipiki
Poa npo kibiti hapa ngoja nakujaNjoo huku Somalia 😀😀
Kisu atoe wapi wakat wanasachiwa kabla ya kuingia, hiyo kawaida sana kwenye mpira, Kakà mwwnyewe ashavamiwa alivyokuja bongo akakumbatiwa, Messi na wachezaj wengne Duniani.Hivi mfano angemtia bisu wyne rooney ingekuwaje kwa sasa?
Mpira siyo siasa watakuchukuliaje??wanachukulia hilo ni tukio la kimichezo.Unajua humu jamii forum kila kitu mtu anajikuta mjuaji umesahau ronaldinho mshabiki aliruka fens akaenda kumkumbatia,the same to Henry arsenal na Barcelona hivyo hivyo.Inaonyesha wazi ww Co mfuatiliaji wa mpira bali ni mfuatiliaji wa siasaWewe unaweza kuchukulia tukio hili kama ni la kawaida, unacho sahau wazungu wasio penda penda Waafrika na Continent lenywe wanaweza kuanza kujenga hoja kwamba Tanzania si nchi salama kwa wachezaji wa mpira kutoka Ulaya, tukajikuta tunapigwa vita
/propaganda za kutuharibia sifa kimataifa kutokana na ujinga wetu wa kushabakia uwenda wazimu wa mtu mmoja. Nyie mnafikiri kwa nini gazeti moja la Uingereza lilitangaza kwamba Dar ni kijiji cha wavuvi mnafikiri propaganda hizo ni za bahati mbaya - je, wakipata tetezi kwa kile kilicho mtokea Rooney uwanjani mnafikiri tabloid za Uingereza zitakuja na stori gani, si ndiyo itakuwa balaa.
Inakuwaje mtu anaruka uzio anamkimbilia Rooney na Walinzi wanamwangalia tu, wanakuja kuzinduka amekwisha mvaa Rooney, je, kama angekuwa amerukwa akili akamfanya lolote Rooney Wizara ya michezo ingetoa ufafanuzi/maelezo gani - haya si mambo ya kuchukuliwa lightly hata kidogo. Angalieni tena picha za tukio, je, nyuso za wachezaji/wageni zinaonekanaje? kuna anaye tabasamu au kucheka, hakuna; angalia mkono wa kulia wa Rooney unaonekanaje - alikuwa kwenye harakati za kujihami, actually anamsukuma jamaa na uso ameukunja kabisa!! Wamekasirishwa na tukio hilo hata kama awasemi dhahili kwa hivi sasa lakini body languages zao speaks VOLUME.
Nadhani ni imani. Kuna mwingine akiona hii post aliyotoa anaona kama ni USHOGA vile vile..Mtoto wa kiume, unamkimbilia Wayne Rooney na kumkumbatia, huo ni Ushoga
Mkuu samahani kwa kuuliza hili swali, wewe ni shabiki wa soka kweli?Wewe unaweza kuchukulia tukio hili kama ni la kawaida, unacho sahau wazungu wasio penda penda Waafrika na Continent lenywe wanaweza kuanza kujenga hoja kwamba Tanzania si nchi salama kwa wachezaji wa mpira kutoka Ulaya, tukajikuta tunapigwa vita