Shabiki avamia uwanja na kumkumbatia Rooney

Rooney na wenzake wanaonekana wazi wazi hawakufurahia kitendo hicho,wako horrified totally - Waswahili wanao mpigia debe kijana huyo mimi siwaelewi kabisa - emotions hizi zilizopitiliza mipaka uwakumba zaidi wanawake/wasichana kwenye kumbi za miziki wanapo vamia stage kukumbatia muimbaji nk, hiyo inaeleweka - lakini kwa upande wa wanaume hiyo ni nadra sana -binafsi nachukulia tukio la leo uwanjani lina element ya u-lunacy au kitu kingine cha ziada si bure!!
Nobaki naosi iwe mshaija Hiyo ni according to your own perceptions lakini hicho kitu kipo na kinatokeaga Mara nyingi uwanjani, watu wanatafta namna ya kukaa kwenye font fed na mpaka mda huu akafanikiwa azma yake.

Senti furomu mai tekino wereva yuzingi jamii foramu mobaili apu
 
Huyu ni kumshikisha adabu ili asirudie na iwe funzo kwa wengine.. Sbb kashaharibu mood ya mpira na wachezaji.. Inatisha na wachezaji wanaweza sema Tz sio salama uwanjani.. Meaning ulinzi sio mkali watasema hivyo.. Dawa ni kumpiga bakora 10 kila siku kwa siku 10.. Iwe funzo
Teh teh teh!!!!
Mkuu hapo hakuna adhabu ataachiwa tu, hii kitu sio bongo tu inatokea hata Ulaya so don't blame much.

Senti furomu mai tekino wereva yuzingi jamii foramu mobaili apu
 
Wewe unaweza kuchukulia tukio hili kama ni la kawaida, unacho sahau wazungu wasio penda penda Waafrika na Continent lenywe wanaweza kuanza kujenga hoja kwamba Tanzania si nchi salama kwa wachezaji wa mpira kutoka Ulaya, tukajikuta tunapigwa vita
/propaganda za kutuharibia sifa kimataifa kutokana na ujinga wetu wa kushabakia uwenda wazimu wa mtu mmoja. Nyie mnafikiri kwa nini gazeti moja la Uingereza lilitangaza kwamba Dar ni kijiji cha wavuvi mnafikiri propaganda hizo ni za bahati mbaya - je, wakipata tetezi kwa kile kilicho mtokea Rooney uwanjani mnafikiri tabloid za Uingereza zitakuja na stori gani, si ndiyo itakuwa balaa.

Inakuwaje mtu anaruka uzio anamkimbilia Rooney na Walinzi wanamwangalia tu, wanakuja kuzinduka amekwisha mvaa Rooney, je, kama angekuwa amerukwa akili akamfanya lolote Rooney Wizara ya michezo ingetoa ufafanuzi/maelezo gani - haya si mambo ya kuchukuliwa lightly hata kidogo. Angalieni tena picha za tukio, je, nyuso za wachezaji/wageni zinaonekanaje? kuna anaye tabasamu au kucheka, hakuna; angalia mkono wa kulia wa Rooney unaonekanaje - alikuwa kwenye harakati za kujihami, actually anamsukuma jamaa na uso ameukunja kabisa!! Wamekasirishwa na tukio hilo hata kama awasemi dhahili kwa hivi sasa lakini body languages zao speaks VOLUME.
We endelea na siasa tu mpira sio nyanja yako.

Senti furomu mai tekino wereva yuzingi jamii foramu mobaili apu
 
Wabongo kwa kukuza mambo, naona baadhi ya watu wanata kukifanya kichuguu kionekane ni mlima.( Making a mountain out of a molehill). Ni matukio ya kawaida kwenye michezo hakuna cha ajabu hapo, na haijaanza kutokea jana. Wenye kumbukumbu zao wanakumbuka Brazil walipokuja hapa kuna mshabiki mmoja pia alimkimbilia Kaka. Hispania kulikuwa mechi kati ya Barca na Asernal kuna mshabiki wa Barca aliingia uwanjani akampa Thiery Henry jezi ya Barca. Na baadaye Henry aliamia Barca. Matukio kama hayo ni mengi sana kwenye soka.
 
Sometimea waAfrica tunajiaibisha tu.huyu mtu unaweza kuta toka utotoni mwake mpaka leo hajawahi kumkumbatia mama yake wala baba yake.

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Hata Ulaya hizi mambo zipo labda kama ww Co mfuatiliaji wa mpira lazima utadhani ni Africa peke yake

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mbona unawasemea wewe, kwenye soka hapo hakuna jipya. Ukisema wazungu hawapendi waafrika kwa kiasi hicho unakosea sana, ubaguzi upo kwa kiasi chake but sivyo unavyodhani. Kwa waliotembea nchi za wenzetu wanalijua hilo, kizazi cha sasa cha wenzetu mnajimix ile mbaya mkuu na mimi hilo nimeshuhudia sana, mkiwa huko watoto unawapiga mashine tu wala huo ubaguzi si kihivyo. So wala usihofu kwa ulimwengu wa soka hilo kawaida sana sana.
Huenda jamaa hafuatilii mpira mbona mbele haya mambo yapo

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa keshapata platform, namshauri atoe singo yoyote au aakti muvi, wazee wa fursa clouds media wataanza kumtumia soon!!
 
Hivi mfano angemtia bisu wyne rooney ingekuwaje kwa sasa?
Kisu atoe wapi wakat wanasachiwa kabla ya kuingia, hiyo kawaida sana kwenye mpira, Kakà mwwnyewe ashavamiwa alivyokuja bongo akakumbatiwa, Messi na wachezaj wengne Duniani.

Ila naskia yule aliemkumbatiaga Kakà alimpata Linah, Sasa na huyu tuone atampata msanii gani maana wasanii wa bongo akili zao wanazijua wenyewe

sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Wewe unaweza kuchukulia tukio hili kama ni la kawaida, unacho sahau wazungu wasio penda penda Waafrika na Continent lenywe wanaweza kuanza kujenga hoja kwamba Tanzania si nchi salama kwa wachezaji wa mpira kutoka Ulaya, tukajikuta tunapigwa vita
/propaganda za kutuharibia sifa kimataifa kutokana na ujinga wetu wa kushabakia uwenda wazimu wa mtu mmoja. Nyie mnafikiri kwa nini gazeti moja la Uingereza lilitangaza kwamba Dar ni kijiji cha wavuvi mnafikiri propaganda hizo ni za bahati mbaya - je, wakipata tetezi kwa kile kilicho mtokea Rooney uwanjani mnafikiri tabloid za Uingereza zitakuja na stori gani, si ndiyo itakuwa balaa.

Inakuwaje mtu anaruka uzio anamkimbilia Rooney na Walinzi wanamwangalia tu, wanakuja kuzinduka amekwisha mvaa Rooney, je, kama angekuwa amerukwa akili akamfanya lolote Rooney Wizara ya michezo ingetoa ufafanuzi/maelezo gani - haya si mambo ya kuchukuliwa lightly hata kidogo. Angalieni tena picha za tukio, je, nyuso za wachezaji/wageni zinaonekanaje? kuna anaye tabasamu au kucheka, hakuna; angalia mkono wa kulia wa Rooney unaonekanaje - alikuwa kwenye harakati za kujihami, actually anamsukuma jamaa na uso ameukunja kabisa!! Wamekasirishwa na tukio hilo hata kama awasemi dhahili kwa hivi sasa lakini body languages zao speaks VOLUME.
Mpira siyo siasa watakuchukuliaje??wanachukulia hilo ni tukio la kimichezo.Unajua humu jamii forum kila kitu mtu anajikuta mjuaji umesahau ronaldinho mshabiki aliruka fens akaenda kumkumbatia,the same to Henry arsenal na Barcelona hivyo hivyo.Inaonyesha wazi ww Co mfuatiliaji wa mpira bali ni mfuatiliaji wa siasa

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Wewe unaweza kuchukulia tukio hili kama ni la kawaida, unacho sahau wazungu wasio penda penda Waafrika na Continent lenywe wanaweza kuanza kujenga hoja kwamba Tanzania si nchi salama kwa wachezaji wa mpira kutoka Ulaya, tukajikuta tunapigwa vita
/propaganda za kutuharibia sifa kimataifa kutokana na ujinga wetu wa kushabakia uwenda wazimu wa mtu mmoja. Nyie mnafikiri kwa nini gazeti moja la Uingereza lilitangaza kwamba Dar ni kijiji cha wavuvi mnafikiri propaganda hizo ni za bahati mbaya - je, wakipata tetezi kwa kile kilicho mtokea Rooney uwanjani mnafikiri tabloid za Uingereza zitakuja na stori gani, si ndiyo itakuwa balaa.

Inakuwaje mtu anaruka uzio anamkimbilia Rooney na Walinzi wanamwangalia tu, wanakuja kuzinduka amekwisha mvaa Rooney, je, kama angekuwa amerukwa akili akamfanya lolote Rooney Wizara ya michezo ingetoa ufafanuzi/maelezo gani - haya si mambo ya kuchukuliwa lightly hata kidogo. Angalieni tena picha za tukio, je, nyuso za wachezaji/wageni zinaonekanaje? kuna anaye tabasamu au kucheka, hakuna; angalia mkono wa kulia wa Rooney unaonekanaje - alikuwa kwenye harakati za kujihami, actually anamsukuma jamaa na uso ameukunja kabisa!! Wamekasirishwa na tukio hilo hata kama awasemi dhahili kwa hivi sasa lakini body languages zao speaks VOLUME.
Mkuu samahani kwa kuuliza hili swali, wewe ni shabiki wa soka kweli?
 
Back
Top Bottom