Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Tusilalamike sana jamani ishatokea nobody read minds so wasingeweza kuzuia kwa kitu cha ghafla kama kile
Rooney na wenzake wali be caught offguard ndo maana hawakucheka, huenda walicheka baadae
Temper huh! Mi simo [emoji40] [emoji40] [emoji40]Ghafla kivipi, kwani alimvamia barabarani? Mtu anaruka uzio anakimbia zaidi ya mita sitini uwanjani kumfuata Rooney - unawezaje kusema timeframe ya kwenda mpaka kumvaa Rooney ni ya ghafla, was it done in microseconds?
Hapa kuna watu hata siwashabiki/wafuatiliaji wakandanda,Sasa hili tukio kwao wanaliona kama maajabu.Kweli kabisa mkuu, alafu unaweza kuta wengi si mashabiki wa mpira wanaingiza na mambo ya ushoga. Ni tukio la kawaida sana na akina Rooney hawawezi kushangaa. Tatizo kuna watu wana taka kucomment kila kitu na wakati mwingine kwa busara ndogo sana
Wewe unaleta mambo yako ya siasa za ki- CCM kwenye mpira?! Mpira sio chuki kijanaHuyu ni kumshikisha adabu ili asirudie na iwe funzo kwa wengine.. Sbb kashaharibu mood ya mpira na wachezaji.. Inatisha na wachezaji wanaweza sema Tz sio salama uwanjani.. Meaning ulinzi sio mkali watasema hivyo.. Dawa ni kumpiga bakora 10 kila siku kwa siku 10.. Iwe funzo
Wewe unaleta mambo yako ya siasa za ki- CCM kwenye mpira?! Mpira sio chuki kijanaHuyu ni kumshikisha adabu ili asirudie na iwe funzo kwa wengine.. Sbb kashaharibu mood ya mpira na wachezaji.. Inatisha na wachezaji wanaweza sema Tz sio salama uwanjani.. Meaning ulinzi sio mkali watasema hivyo.. Dawa ni kumpiga bakora 10 kila siku kwa siku 10.. Iwe funzo
Mkuu, naona unakwenda mbali sana kuwachambua hawa wakazi wa uropa!Wewe unaweza kuchukulia tukio hili kama ni la kawaida, unacho sahau wazungu wasio penda penda Waafrika na Continent lenywe wanaweza kuanza kujenga hoja kwamba Tanzania si nchi salama kwa wachezaji wa mpira kutoka Ulaya, tukajikuta tunapigwa vita
/propaganda za kutuharibia sifa kimataifa kutokana na ujinga wetu wa kushabakia uwenda wazimu wa mtu mmoja. Nyie mnafikiri kwa nini gazeti moja la Uingereza lilitangaza kwamba Dar ni kijiji cha wavuvi mnafikiri propaganda hizo ni za bahati mbaya - je, wakipata tetezi kwa kile kilicho mtokea Rooney uwanjani mnafikiri tabloid za Uingereza zitakuja na stori gani, si ndiyo itakuwa balaa.
Inakuwaje mtu anaruka uzio anamkimbilia Rooney na Walinzi wanamwangalia tu, wanakuja kuzinduka amekwisha mvaa Rooney, je, kama angekuwa amerukwa akili akamfanya lolote Rooney Wizara ya michezo ingetoa ufafanuzi/maelezo gani - haya si mambo ya kuchukuliwa lightly hata kidogo. Angalieni tena picha za tukio, je, nyuso za wachezaji/wageni zinaonekanaje? kuna anaye tabasamu au kucheka, hakuna; angalia mkono wa kulia wa Rooney unaonekanaje - alikuwa kwenye harakati za kujihami, actually anamsukuma jamaa na uso ameukunja kabisa!! Wamekasirishwa na tukio hilo hata kama awasemi dhahili kwa hivi sasa lakini body languages zao speaks VOLUME.
Mkuu samahani kwa kuuliza hili swali, wewe ni shabiki wa soka kweli?
Mpira siyo siasa watakuchukuliaje??wanachukulia hilo ni tukio la kimichezo.Unajua humu jamii forum kila kitu mtu anajikuta mjuaji umesahau ronaldinho mshabiki aliruka fens akaenda kumkumbatia,the same to Henry arsenal na Barcelona hivyo hivyo.Inaonyesha wazi ww Co mfuatiliaji wa mpira bali ni mfuatiliaji wa siasa
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Bora angeendela kulalaNdoto nyingine bhana...
Basi Sawa tuu
MmmhWana bahati sikuwapo uwanjani, ilikua timu yangu ya kitaa tuingie wote kuanzia kwa Koeman, Leighton Baines, Rooney, Barry etc! Wana bahati hatukuja!!
Tangu atoe lakimoja kwenye mchango wa watoto naona kiki zake zilishuka hadi zeroharmorapa kaikosaje
Haya mambo katika soka huwa yanatokea haswa kwa wachezaji maarufu!!
Hii pia iliwahi kutokea kwa CR7 Real madrid vs Basel mechi ya uefa 2014.
Mambo ya soka tuwaachie wanasoka!!