Shabiki avamia uwanja na kumkumbatia Rooney

Shabiki avamia uwanja na kumkumbatia Rooney

Tusilalamike sana jamani ishatokea nobody read minds so wasingeweza kuzuia kwa kitu cha ghafla kama kile

Rooney na wenzake wali be caught offguard ndo maana hawakucheka, huenda walicheka baadae

Ghafla kivipi, kwani alimvamia barabarani? Mtu anaruka uzio anakimbia zaidi ya mita sitini uwanjani kumfuata Rooney - unawezaje kusema timeframe ya kwenda mpaka kumvaa Rooney ni ya ghafla, was it done in microseconds?
 
Ghafla kivipi, kwani alimvamia barabarani? Mtu anaruka uzio anakimbia zaidi ya mita sitini uwanjani kumfuata Rooney - unawezaje kusema timeframe ya kwenda mpaka kumvaa Rooney ni ya ghafla, was it done in microseconds?
Temper huh! Mi simo [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
safi kwa shabiki huyo,hakuna la ajabu hapa,nilichokiona na matumizi mabaya ya nguvu za dola .
 
Kweli kabisa mkuu, alafu unaweza kuta wengi si mashabiki wa mpira wanaingiza na mambo ya ushoga. Ni tukio la kawaida sana na akina Rooney hawawezi kushangaa. Tatizo kuna watu wana taka kucomment kila kitu na wakati mwingine kwa busara ndogo sana
Hapa kuna watu hata siwashabiki/wafuatiliaji wakandanda,Sasa hili tukio kwao wanaliona kama maajabu.


Wakati mwingine silazima kuchangia kila nyuzi kama mambo mengine ni giza kwako heri kukaa kimya.
 
Huyu ni kumshikisha adabu ili asirudie na iwe funzo kwa wengine.. Sbb kashaharibu mood ya mpira na wachezaji.. Inatisha na wachezaji wanaweza sema Tz sio salama uwanjani.. Meaning ulinzi sio mkali watasema hivyo.. Dawa ni kumpiga bakora 10 kila siku kwa siku 10.. Iwe funzo
Wewe unaleta mambo yako ya siasa za ki- CCM kwenye mpira?! Mpira sio chuki kijana

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Huyu ni kumshikisha adabu ili asirudie na iwe funzo kwa wengine.. Sbb kashaharibu mood ya mpira na wachezaji.. Inatisha na wachezaji wanaweza sema Tz sio salama uwanjani.. Meaning ulinzi sio mkali watasema hivyo.. Dawa ni kumpiga bakora 10 kila siku kwa siku 10.. Iwe funzo
Wewe unaleta mambo yako ya siasa za ki- CCM kwenye mpira?! Mpira sio chuki kijana

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Wewe unaweza kuchukulia tukio hili kama ni la kawaida, unacho sahau wazungu wasio penda penda Waafrika na Continent lenywe wanaweza kuanza kujenga hoja kwamba Tanzania si nchi salama kwa wachezaji wa mpira kutoka Ulaya, tukajikuta tunapigwa vita
/propaganda za kutuharibia sifa kimataifa kutokana na ujinga wetu wa kushabakia uwenda wazimu wa mtu mmoja. Nyie mnafikiri kwa nini gazeti moja la Uingereza lilitangaza kwamba Dar ni kijiji cha wavuvi mnafikiri propaganda hizo ni za bahati mbaya - je, wakipata tetezi kwa kile kilicho mtokea Rooney uwanjani mnafikiri tabloid za Uingereza zitakuja na stori gani, si ndiyo itakuwa balaa.

Inakuwaje mtu anaruka uzio anamkimbilia Rooney na Walinzi wanamwangalia tu, wanakuja kuzinduka amekwisha mvaa Rooney, je, kama angekuwa amerukwa akili akamfanya lolote Rooney Wizara ya michezo ingetoa ufafanuzi/maelezo gani - haya si mambo ya kuchukuliwa lightly hata kidogo. Angalieni tena picha za tukio, je, nyuso za wachezaji/wageni zinaonekanaje? kuna anaye tabasamu au kucheka, hakuna; angalia mkono wa kulia wa Rooney unaonekanaje - alikuwa kwenye harakati za kujihami, actually anamsukuma jamaa na uso ameukunja kabisa!! Wamekasirishwa na tukio hilo hata kama awasemi dhahili kwa hivi sasa lakini body languages zao speaks VOLUME.
Mkuu, naona unakwenda mbali sana kuwachambua hawa wakazi wa uropa!

Nikuulize,huwa unafatiria kabumbu sana...?

Mtazame shabiki hapa Miami alivyovamia uwanja na kumkumbatia cristian Ronaldo CR7 mwaka 2013 Real madrid vs Chelsea.
1500026112723.jpg
 
Mkuu samahani kwa kuuliza hili swali, wewe ni shabiki wa soka kweli?
Mpira siyo siasa watakuchukuliaje??wanachukulia hilo ni tukio la kimichezo.Unajua humu jamii forum kila kitu mtu anajikuta mjuaji umesahau ronaldinho mshabiki aliruka fens akaenda kumkumbatia,the same to Henry arsenal na Barcelona hivyo hivyo.Inaonyesha wazi ww Co mfuatiliaji wa mpira bali ni mfuatiliaji wa siasa

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app

Si rahisi kunielewa - nasema hivi: vamieni wachezaji wa Simba na Yanga, fanyeni vimbwanga vyenu vyote under the SUN lakini msivamie wageni, nimewauliza swali dogo hapa: Hivi mnajua kwa nini Gazeti la Uingereza limesema mji wa Dar ni kijiji cha wavuvi?? Mimi najua sababu, hawakusema hayo kwa bahati mbaya na wala si kwamba hawajui mji wa Dar unafananaje - that was a well organised propaganda za kutuharibia sifa - wala nyinyi hilo amulioni kwa sababu hamujawahi kuishi nao kwa karibu kwa muda mrefu kujua hulka zao zilivyo, wengi wao wana dharau za ajabu sana - hii mifano uliyo leta hapa kuhusu Ronaldinho, Henry kukumbatiwa na mashabiki - ukweli ni kwamba hapo Polisi waliwavumulia shabiki kwa sababu walikuwa ni wazungu wenzao, kama shabeki angekuwa mtu mweusi angapigwa vibaya sana na Polisi au Polisi wangemkwida shingoni kiana mpaka anatolewa uwanjani amekwisha poteza uhai, tembeeni muone wenzetu walivyo siyo mnangalia matukio kwenye luninga tu, halafu mna draw conclusion bila ya kujua vizuri kinacho endelea under the hood.

Kama tungefanya homework kwanza ya kujua wenzetu walivyo, tungeweza ku-handle situation vizuri ili tukio la juzi lisitokee, badala yake baadhi yetu bila ya kujijua tunaongezea chumvi kwenye kidonda kutokana na Mtanzania mwenzetu kumvamia Rooney,tukumbuke kwamba hapo media za Uingereza zimekwisha pata ammunition za kuikandia Tanzania pindi timu nyingine itakapo taka kuja kuitembelea Tanzania, regardless ya Nchi yetu kuwa na uwanja wa mpira wa Kimataifa lakini matendo yetu ya kutotumia akili yanaweza kutuharibia sifa sana. Kama Taifa tunapaswa kuwa makini sana, tusijenge mazingira ya kuwapa kisingizio timu za Ulaya kukataa kuleta wachezaji wao nchini.
 
Hilo tukio vyombo vya habari vya wazungu vimeriporti positively, ni kawaida kwa star kama Rooney
 
Katika mitandao kote sijaona picha yenye video ya tukio hilo.naomba mwenye nayo aweke

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kati ya hao Rooney ndio nani hapo? .........ndio huyo alievaa jezi nyekundu y manure?.
 
Ikiwa Mashabiki wa Tanzania wakiwa na hamu kubwa ya kushuhudia mchezo wa kirafiki kati ya Everton FC Vs Gor Mahia na kukiwa na lengo la kumshuhudia staa wa Manchester United Wayne Rooney ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Everton. Vituko mbalimbali vikiendelea mmoja wa mashabiki ambaye alikua na nia ya kumlaki staa huyo Rooney akatimiza dhamira yake baada ya timu hizo kuelekea mapumziko kwa kufungana sare ya bao 1-1 katika dakika 45 za kipindi cha kwanza akaona nafasi moja wapo ya kufuata staa huyo na kumlaki. Unaweza kusema ni moja ya historia ambayo shabiki huyo ameweka kutokana na ulinzi mkali uliokuwepo tangu kikosi hicho kimewasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere july 12 mwaka huu na huo ndio ushabiki wa kweli kwa kutimiza dhamira ambayo ameiweka. Ikiwa ni mechi ya kirafiki ambayo inapigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Mastaa hao ambao wanakipiga katika ligi kuu ya England na mabingwa wa kombe la sportspesa Super cup miamba wa kenya.
 
Haya mambo katika soka huwa yanatokea haswa kwa wachezaji maarufu!!

Hii pia iliwahi kutokea kwa CR7 Real madrid vs Basel mechi ya uefa 2014.

Mambo ya soka tuwaachie wanasoka!!

Jambo likitokea ulaya haina maana kuwa ni sawa tu, huko ulaya ikitokea hivyo shabiki anahojiwa kama kawaida kwa sababu ni breach ya security. Huwezi kujua intent yake na mental stability yake ipoje hivyo scrutiny lazima huwa inafanyika.

Unachoona kinatokea ulaya ni tukio lakini hujui nini kinaendelea behind the scene (baada ya tukio hilo). Wazungu hawana mzaha na security issues.
 
Joseverest

Sent from my GT-S5310I using JamiiForums mobile app
 
jana alijitolea liwalo na liwe, hivi walimuachia baadae
 
Lakini wale poilisi walifanya ile kazi ya kumkamata kwa weledi sana. Maana niletegemea labda hivi sasa awe ICU Muhimbili kama aliyepata ajali ya boda boda.
 
Back
Top Bottom