Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana zozote zilizokua karibu.Mbegu zipi mkuu?
Hizi za mshedede ama?
Brazil iko Kinondoni jirani na Soko la ma TxHalafu Brazil iko Mbagala kwa Nyoka
Kumbe kuna wanaume nao ni washamba wa mpira kam ssUngemwambia znatoka
Bara la Africa
Mjomba ako katia aibuUngemwambia znatoka
Bara la Africa
[emoji23] [emoji23]Mjomba ako katia aibu
90% wengi wanajua USA n EuropeWengi hawajui hayo mabara. Watu wengi sana unaweza kuwasikia wakisema mange kimambi anatudanganya yeye yuko zake Ulaya" hahahhahha Marekeni imekuwa Ulaya
Niliutambua uwezo wake kimaarifa ndio maana nilijifanya kutokujua kitu ili aendelee kunipa udambwi dambwi.Mjinga uyo
Mkuu upo?Wengi hawajui hayo mabara. Watu wengi sana unaweza kuwasikia wakisema mange kimambi anatudanganya yeye yuko zake Ulaya" hahahhahha Marekeni imekuwa Ulaya
[HASHTAG]#APAMBANENAHALIYAKEETU[/HASHTAG]Nilikuwa naangalia game kati ya Ureno na Uholanzi ambayo imeisha kwa Ureno kufungwa tatu bila.
Sasa baadae akaja jamaa mmoja akakaa karibu nami (wakati huo Ureno washakufa 3 na mimi ndio timu yangu) akaniuliza Itali wanacheza? Nikamjibu hapana ni Uholanzi na Ureno,akasema ahaa.
Mara Ronaldo akapumzishwa na nafasi yake kuchukuliwa na Moutinho,sasa huyu shabiki akawa ametamka Coutinho kisha akasema Ureno Brazil zimepakana(hapa nikajisemea moyoni labda kaona majina yanataka kufanana japo yeye aliona yamefanana ndio maana kasema hizi nchi zimepakana)kuhusu location akanifanya nikachoka mwenzenu.
Aliponichosha zaidi ni pale aliponiambia kuwa hizi nchi zote zinatoka bara la Asia,hapa sasa ndio nilitamani hata kuondoka khaaaa.(Lakini nikajiuliza ama pengine continental drifting imefanyika tena ila mimi ndio sijui?
Wakati mimi najua Brazil iko bara la A.Kusini na Ureno ipo Ulaya.
Haa haa wengi sanaKumbe kuna wanaume nao ni washamba wa mpira kam ss