Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Ufike wakati tukubali tu hakuna marefu yasiyo na ncha hakika tumetamba Sana takriban miaka 4 ya nyuma
Sasa ni wakati wa kukubali matokeo kuwa kikosi chetu kimechoka Sana mfano mzuri ni haya matokeo ya hivi karibuni katika mechi 3 tumeambulia point 1 tu Tena nayo chupuchupu iondoke
Makosa makubwa yaliyofanyika ni pamoja na kumleta kocha katikati ya msimu huku tukiwa na kocha mzawa ambaye alikuwa anaendeleza wimbi la ushindi
Tukumbuke hadi kufika hatua ya makundi ni kocha mzawa ndiye aliyetufikisha hapa tena kwa ushindi wa nje ndani lakini viongozi wakaona hatoshi sasa madhara yake ndiyo haya
Tulikuwa tunawacheka wenzetu Yanga kuwa mazoezi yao wanacheza na Transit camp, JKT Ruvu huku sisi tukicheza na Al Hilal ya Sudan lakini ukweli umejulikana
Tumesajili ndio lakini siyo quality player hawaendani na mfumo wetu kikubwa pesa itoke tununue wachezaj pia tuachane na wazee na magarasa yote
Kuanza upya siyo ujinga