Shabiki mwenzangu wa Simba tuelewane juu ya hili

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Ufike wakati tukubali tu hakuna marefu yasiyo na ncha hakika tumetamba Sana takriban miaka 4 ya nyuma

Sasa ni wakati wa kukubali matokeo kuwa kikosi chetu kimechoka Sana mfano mzuri ni haya matokeo ya hivi karibuni katika mechi 3 tumeambulia point 1 tu Tena nayo chupuchupu iondoke

Makosa makubwa yaliyofanyika ni pamoja na kumleta kocha katikati ya msimu huku tukiwa na kocha mzawa ambaye alikuwa anaendeleza wimbi la ushindi

Tukumbuke hadi kufika hatua ya makundi ni kocha mzawa ndiye aliyetufikisha hapa tena kwa ushindi wa nje ndani lakini viongozi wakaona hatoshi sasa madhara yake ndiyo haya

Tulikuwa tunawacheka wenzetu Yanga kuwa mazoezi yao wanacheza na Transit camp, JKT Ruvu huku sisi tukicheza na Al Hilal ya Sudan lakini ukweli umejulikana

Tumesajili ndio lakini siyo quality player hawaendani na mfumo wetu kikubwa pesa itoke tununue wachezaj pia tuachane na wazee na magarasa yote

Kuanza upya siyo ujinga
 
hapa mliponzwa na wachambuz wa mchongo wenye mahaba na simba akati kila timu ina plan yake ya maandalizi.
 
Pamoja na kwenda Dubai 😅😅
 
Naomba niende likizo mfungo wa Kwaresma...hii Simba itanitoa roho..
Screenshot_20230222_115047_Instagram.jpg
 
Ufike wakati tukubali tu hakuna marefu yasiyo na ncha hakika tumetamba Sana takriban miaka 4 ya nyuma

Sasa ni wakati wa kukubali matokeo kuwa kikosi chetu kimechoka Sana mfano mzuri ni haya matokeo ya hivi karibuni katika mechi 3 tumeambulia point 1 tu Tena nayo chupuchupu iondoke

Makosa makubwa yaliyofanyika ni pamoja na kumleta kocha katikati ya msimu huku tukiwa na kocha mzawa ambaye alikuwa anaendeleza wimbi la ushindi

Tukumbuke hadi kufika hatua ya makundi ni kocha mzawa ndiye aliyetufikisha hapa tena kwa ushindi wa nje ndani lakini viongozi wakaona hatoshi sasa madhara yake ndiyo haya

Tulikuwa tunawacheka wenzetu Yanga kuwa mazoezi yao wanacheza na Transit camp, JKT Ruvu huku sisi tukicheza na Al Hilal ya Sudan lakini ukweli umejulikana

Tumesajili ndio lakini siyo quality player hawaendani na mfumo wetu kikubwa pesa itoke tununue wachezaj pia tuachane na wazee na magarasa yote

Kuanza upya siyo ujinga
Usishangae ukashambuliwa hapa, wenzako bado wanaishi kwenye fantasy ya kufika semi finals na propaganda za "ranks za caf" na "kwa mkapa hatoki mtu", hawaoni kwamba kwa miaka miwili mfululizo chart ya ubora wa timu yao inazidi kushuka.
 
Ufike wakati tukubali tu hakuna marefu yasiyo na ncha hakika tumetamba Sana takriban miaka 4 ya nyuma

Sasa ni wakati wa kukubali matokeo kuwa kikosi chetu kimechoka Sana mfano mzuri ni haya matokeo ya hivi karibuni katika mechi 3 tumeambulia point 1 tu Tena nayo chupuchupu iondoke

Makosa makubwa yaliyofanyika ni pamoja na kumleta kocha katikati ya msimu huku tukiwa na kocha mzawa ambaye alikuwa anaendeleza wimbi la ushindi

Tukumbuke hadi kufika hatua ya makundi ni kocha mzawa ndiye aliyetufikisha hapa tena kwa ushindi wa nje ndani lakini viongozi wakaona hatoshi sasa madhara yake ndiyo haya

Tulikuwa tunawacheka wenzetu Yanga kuwa mazoezi yao wanacheza na Transit camp, JKT Ruvu huku sisi tukicheza na Al Hilal ya Sudan lakini ukweli umejulikana

Tumesajili ndio lakini siyo quality player hawaendani na mfumo wetu kikubwa pesa itoke tununue wachezaj pia tuachane na wazee na magarasa yote

Kuanza upya siyo ujinga
Sie wengine matumaini yaliisha siku wanatangaza kocha mpya mzungu.

Nilisema sana.Si kitu rahisi kutarajia matokeo wakati kama huu,labda uwe mwendawazimu tu
 
Back
Top Bottom