Shabiki wa kigoma aipiga yanga mkwara aipa masharti mazito la sivyo watakoma

Shabiki wa kigoma aipiga yanga mkwara aipa masharti mazito la sivyo watakoma

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Msije kusema hamkuambiwa maana baada ya mzee mpili kukutana na injinia hersi ofisini kwake na kupewa hela za kwenda kushughulikia majini ya huko ikwiriri mkadhani mmemaliza kumbe lile jamaa la kigoma nalo mlilipa kazi halfu mmelipotezea.

Hii ndo yanga tunayoijua sisi siyo kila siku mnajifanya eti mabadiliko.....

- Shabiki wa timu ya Yanga Hussein Mangsul mkazi wa Kigoma aliyetembea kwa miguu kutoka Kigoma hadi Dar kuangalia mchezo wa watani wa jadi wa May 8 alioahirishwa amesema kuwa aliahidiwa na uongozi wa klabu hiyo watamtumia tiketi ya ndege kwenda kuutazama mchezo wa July 03.

- Mangsul ambaye alirejea kwao kwa ndege amedai kuwa iwapo Yanga hawatatimiza ahadi yake ya kumtumia tiketi ya ndege kwenda kutazama mechi hiyo watafungwa na wasimlaumu mtu kwa kile kitakachowapata. Shabiki huyo amesema dawa ya kuifunga Simba anayo yeye na sio mtu mwingine.
Via CG FM Radio


207352186_985058508937900_2490291567111133459_n.jpg
 
huo mzigo wa mzee mpili nafikiri ndiyo kwenye ile video alikuwa anamnong'oneza kwamba anajuana na watu wa ma nyukilia...kavuta mpunga sasa kawaletea kitu hiko dah utopolo hatari sana

Kila mtu mbabe kwenye hii team,khaaaa
 
Mpira wa Tanzani tatizo ni mashabiki. Wengi mnatabia za kishoga.
 
Akafir*we huko [emoji2959][emoji2959][emoji2959]
 
Akafir*we huko [emoji2959][emoji2959][emoji2959]
kwani we unadhani waliosema watamtumia tiketi ya ndege hawakujua ni kwa kazi gani au sababu mzee mpili ashapewa fungu la nyuklia za ikwiriri ndiyo mmedharau nuclear za kigoma?
 
Back
Top Bottom