Shabiki wa Simba alistahili kupokea kichapo kutoka kwa Nyosso

junky

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
413
Reaction score
978
Juma Nyoso hana makosa alibughudhiwa na kuwa provoked

Wakati mechi baina ya simba na Kagera kuisha na wachezaji kuelekea kwenye vyumba vya kubadilishia nguo ,shabiki mmoja wa simba alivunja sheria mara 3

1.Kwanza shabiki alitoka jukwaani na kuingia uwanjani ,hapa kavunja sheria

2.Pili baada ya kuingia uwanjani anaelekea karibu na vyumba vya kubadilishia nguo wapi ulaya unaona mshabiki anaingia ndani ya pitch hadi kwenye njia ya kuingia vyumba vya kubadilishia nguo

3.Tatu kmkaribia na kuanza kumpulizia vuvuzela sikioni Juma Nyosso na kumtolea maneno kedekede

Inabidi sasa kupitia tukio hili viwanja vya mikoani vibadilishwe mfumo ,wawekewe uzio wasipate nafasi ya kuingia kwenye pitch na kufanya wanavyotaka,sidhani kama mechi hii ingefanyika uwanja wa taifa tukio hili lingetokea

*Nyosso amekosea sana kwa kushindwa kuzuia hasira zake na alichofanya sio sahihi lakini inakuwaje mashabiki waingie ndani ya pitch ,na kuanza kupuliza vuvuzela sikioni kwa wachezaji waliopoteza mechi.

RPC wa Kagera atoa tamko[emoji115]

*Leo kulikuwa na mechi ya ligi kuu kati ya Kagera na simba."-Rpc

*Mechi ilikwenda salama hadi ilipomaliza kwa timu ya simba kuonekana kuwa mshindi kwa kupata magoli mbili bila."-RPC

*Sasa wakati wanatoka uwanjani mashabiki walikuwa ni wengi na alikuwepo mshabiki mmoja aliyeoneka ni mshabiki wa simba alikuwa na vuvuzela anapuliza,kwahiyo katika kupuliza kwake alikuwa anampulizia Juma Nyosso mchezaji wa Kagera ambaye timu yake imeshindwa.

*Ilikuwa katika hali ya ushabiki lakini huyu mchezaji wa Kagera sugar Juma Nyosso akageuka na kumkunja yule mshabiki na kumpiga kifuti."-Rpc
 
Huyo nyoso ashauliwe awe anavuta zikiwa kavu inaonekana mbichi zinamsumbua sana.

.............halafu na nyinyi mashabiki wa mbumbumbu muwe mnatumia akili mtakuja kuuliwa.
 
unapokuwa na akili timamu ni lazima ujue kuzitumia hizo akil kuonesha utimamu wake.si kuwa ukishakuwa yanga basi mashabik wa simba wanakuwa maadui zako.huo sisi tunaita ni upumbavu. wewe leo mjaze tu huo ujinga huyo mchezaji.kama huyo shabiki angekufa sidhani kama huu utetezi au ushauri ungekuwa ni wa manufaa kwa mchezaji. kwanza mshabiki hakuwa wa simba alikuwa wa kagera. but hata kama alikuwa wa simba,wa yanga au kagera mpira ni mchezo wenye utani mwingi sana. ukiwa mpumbavu utagombana na kila mtu. huwa inafungwa barcleona,manchester n. itakuwa kagera sugar? huu si wendawazimu kabisa kukasirika kwa sababu hiyo? kwa wenye akili huo utani upo miaka nenda rudi na ndo raha ya mpira.sisi tuliozaliwa mjini hapa tunaelewa kuna watu simba ikifungwa au yanga hawatoki ndani wiki nzima.au mtu anatoka saa 10 asubuhi anarudi saa tano usiku ili asitaniwe.. ni utani wa mpira na ndo raha ya mpira. huwezi rusha ngumi....labda uwe taahira,mvuta bhangi,mshamba na mgeni na mchezo huu.
 
well said
 
Juma Nyoso hana makosa alibughudhiwa na kuwa provoked

Wakati mechi baina ya simba na Kagera kuisha na wachezaji kuelekea kwenye vyumba vya kubadilishia nguo ,shabiki mmoja wa simba alivunja sheria mara 3

1.Kwanza shabiki alitoka jukwaani na kuingia uwanjani ,hapa kavunja sheria

2.Pili baada ya kuingia uwanjani anaelekea karibu na vyumba vya kubadilishia nguo wapi ulaya unaona mshabiki anaingia ndani ya pitch hadi kwenye njia ya kuingia vyumba vya kubadilishia nguo

3.Tatu kmkaribia na kuanza kumpulizia vuvuzela sikioni Juma Nyosso na kumtolea maneno kedekede

Inabidi sasa kupitia tukio hili viwanja vya mikoani vibadilishwe mfumo ,wawekewe uzio wasipate nafasi ya kuingia kwenye pitch na kufanya wanavyotaka,sidhani kama mechi hii ingefanyika uwanja wa taifa tukio hili lingetokea

*Nyosso amekosea sana kwa kushindwa kuzuia hasira zake na alichofanya sio sahihi lakini inakuwaje mashabiki waingie ndani ya pitch ,na kuanza kupuliza vuvuzela sikioni kwa wachezaji waliopoteza mechi.

RPC wa Kagera atoa tamko[emoji115]

*Leo kulikuwa na mechi ya ligi kuu kati ya Kagera na simba."-Rpc

*Mechi ilikwenda salama hadi ilipomaliza kwa timu ya simba kuonekana kuwa mshindi kwa kupata magoli mbili bila."-RPC

*Sasa wakati wanatoka uwanjani mashabiki walikuwa ni wengi na alikuwepo mshabiki mmoja aliyeoneka ni mshabiki wa simba alikuwa na vuvuzela anapuliza,kwahiyo katika kupuliza kwake alikuwa anampulizia Juma Nyosso mchezaji wa Kagera ambaye timu yake imeshindwa.

*Ilikuwa katika hali ya ushabiki lakini huyu mchezaji wa Kagera sugar Juma Nyosso akageuka na kumkunja yule mshabiki na kumpiga kifuti."-Rpc

Ilikuwa ni hali ya ushabiki tu wa mpira, Nyoso kakasirika ama naye kampiga tu kutokana na ushabiki tu wa mpira.
 
Napenda wanaume wakorofi kama Nyoso sio mwanaume unaonewa unabung'aa tu,,mbona sioni video ya huyo jamaa akitandikwa ngumi mpaka kuzimia
Wewe unatamani msaliboko wake acha kujidai unapenda ukorofi wake.
 
Nyoso alifanya kosa. Halina mjadala. Lakini mashabiki nao waelewe kwamba wachezaji ni binadamu pia. Kuwa shabiki hakumpi mtu uhuru wa kutukana na kukera wengine. Alichopata huyo shabiki ni stahili yake. Ndemeti!
 
uwanjani Nyosso yuko sahihi ila nje ya dimba ni kosa kushambulia mtu, ila hata ningekuwa mimi nimecheza mpira kwa jihadi kubwa tukafungwa then aje shabiki anizodoe tena kwa vuvuzela sikioni kwangu aisee lazima nimwonesha udume. ni upuuzi na makusudi mi ningeshangaa sana kama Nyosso angemwacha hivihivi. Hata Taifa wewe nenda vuvuzela lako la red then ukapulize kwa watu wa yellow kama hupati chumba Mlonganzila
 
POPOTE NYOSO ANYWE BIA KRETI MOJA NITALIPA, SAFI SANA KWA KUMNYOSO HUY SHABIKI KANJANJA.

HATA ZIDANE ALIMTWANGA MATERAZ KICHWA TENA WC FINAL
 
Jamaa ni mkorofi hahaahah ila linapendeza lilivyo na ukorofi wake wakibabe.....nae ni bindamu ana emotional so hat ningekua mimi ningempa vitasa tu shabiki maana shabiki nae kavuka mipaka
 
unapokuwa na akili timamu ni lazima ujue kuzitumia hizo akil kuonesha utimamu wake.si kuwa ukishakuwa yanga basi mashabik wa simba wanakuwa maadui zako.huo sisi tunaita ni upumbavu. wewe leo mjaze tu huo ujinga huyo mchezaji.kama huyo shabiki angekufa sidhani kama huu utetezi au ushauri ungekuwa ni wa manufaa kwa mchezaji. kwanza mshabiki hakuwa wa simba alikuwa wa kagera. but hata kama alikuwa wa simba,wa yanga au kagera mpira ni mchezo wenye utani mwingi sana. ukiwa mpumbavu utagombana na kila mtu. huwa inafungwa barcleona,manchester n. itakuwa kagera sugar? huu si wendawazimu kabisa kukasirika kwa sababu hiyo? kwa wenye akili huo utani upo miaka nenda rudi na ndo raha ya mpira.sisi tuliozaliwa mjini hapa tunaelewa kuna watu simba ikifungwa au yanga hawatoki ndani wiki nzima.au mtu anatoka saa 10 asubuhi anarudi saa tano usiku ili asitaniwe.. ni utani wa mpira na ndo raha ya mpira. huwezi rusha ngumi....labda uwe taahira,mvuta bhangi,mshamba na mgeni na mchezo huu.
Yule ni shabiki wa Simba na kibaya zaidi kamwita "Mdebwedo" Nyoso, neno mdebwedo unaweza kulitumia kumwambia shabiki wa team pinzani kuwa team yenu ni mdebwedo na ikawa ni sehemu ya utani lkn co mchezaji ambae katoka kukimbizana na dk 90 ambazo hazikumpa matokeo chanya na muda uohuo wewe mashabiki mavi unampa jina la kifenzuri kama ilo alafu akuache eti kisa ni utani wa mpira!, khaaa!!

Ndugu yako kavuna alichokipanda na hilo ndio fundisho kwa wote wenye ushabiki wa kishamba.
 
Hivi kweli mtu kapigwa na mtoto hadi kazimia?
Aliepigwa ana 33yrs
Nyoso 29yrs..
Polisi kuweni na huruma kwa watoto
 
Nyoso yupo ndani. Jamaa karudi mtaani. Na inakuwa kesi tayari.unadhan nani anayepoteza sasa?

Yule ni shabiki wa Simba na kibaya zaidi kamwita "Mdebwedo" Nyoso, neno mdebwedo unaweza kulitumia kumwambia shabiki wa team pinzani kuwa team yenu ni mdebwedo na ikawa ni sehemu ya utani lkn co mchezaji ambae katoka kukimbizana na dk 90 ambazo hazikumpa matokeo chanya na muda uohuo wewe mashabiki mavi unampa jina la kifenzuri kama ilo alafu akuache eti kisa ni utani wa mpira!, khaaa!!

Ndugu yako kavuna alichokipanda na hilo ndio fundisho kwa wote wenye ushabiki wa kishamba.
 
Mi nakwambia hivi mi nmeshawahi kupiga mtu akazimia na kesi ikafika polisi... Si jambo zuri.hasa mtu huyo ukisikia amelazwa hali yake mbaya....unamwomba Mungu asife maana akifa tayar una hard time
 
Back
Top Bottom