OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Halaf inaonekana huku bongo tumechelewa kuishi kwa kiki.Maisha haya bila kuleta kituko chako uwezi kutoka kimaisha
Kwa hiyo, Esperance wao wamefuzu kwa mchezo mmoja tu?View attachment 1066236
Shabiki huyo pia atasalia Dar kutazama mchezo wa nusu fainali dhidi ya Esperance ikiwa Simba SC itatinga nusu fainali
Achana nao hao Mambumbumbu kipigo kinachofuata kinawawewesa.Kwa hiyo, Esperance wao wamefuzu kwa mchezo mmoja tu?
Nilisema hapa tangu awali kuwa huyu jamaa anataka kutoboa kimaisha kwa kitukoMaisha haya bila kuleta kituko chako uwezi kutoka kimaisha
Kwanini hewa??si umeambiwa IKIWA Simba itafanikiwa kuingia nusu fainaliHiyo ahadi ya pili ni ahadi hewa.
Maisha haya bila kuleta kituko chako uwezi kutoka kimaisha
Unataka ushahidi wa namna gani mkuu??yaani MTU atembee nae hatua kwa hatua pori kwa pori ndio utaridhika??Mi nimeridhika kwa update zilizokuwa zinarushwa ktk Uzi wa Okwi Boban Sunzu.Kuna ushahidi kweli alitembea? Au usanii tu.