Shabiki wa Simba aliyetembea kwa miguu ala shavu

Shabiki wa Simba aliyetembea kwa miguu ala shavu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
56344582_600594153742022_4491055028626259968_n.jpg


Shabiki lialia amekutana na bodi ya wakurugenzi ya Simba na kupewa ofa ya kwenda Congo kushuhudia game ya TP Mazembe.

Shabiki huyo pia atasalia Dar kutazama mchezo wa nusu fainali dhidi ya Esperance ikiwa Simba SC itatinga nusu fainali
 
Mikia msiseme atujawaambia,match ya mwisho ya champion league pale lubumbashi,tp mazembe alimpa mwarabu goli 8,nyie ndie mnaofuata
FB_IMG_1554699828700.jpeg
 
Back
Top Bottom