OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Shabiki lialia amekutana na bodi ya wakurugenzi ya Simba na kupewa ofa ya kwenda Congo kushuhudia game ya TP Mazembe.
Shabiki huyo pia atasalia Dar kutazama mchezo wa nusu fainali dhidi ya Esperance ikiwa Simba SC itatinga nusu fainali