C cj21125 JF-Expert Member Joined May 12, 2013 Posts 3,358 Reaction score 3,107 Jan 19, 2025 #21 Gusa Achia Bahasha Update Goli. Mwarabu kagomea Bahasha yote haya yasingetokea
C Chief Sanze JF-Expert Member Joined Jun 13, 2014 Posts 1,668 Reaction score 3,736 Jan 19, 2025 #22 Yanga ni timu iliyozoea kushinda kimipango mipango lakini kiukweli hawana mpira wowote.
The Conscious JF-Expert Member Joined Mar 18, 2021 Posts 740 Reaction score 1,218 Jan 19, 2025 #23 Huyo shabiki wa yanga aliyempiga mwenzake ni mjinga tu,Jamaa bora angemrudishia tu kama vipi amtafute amshikishe adabu mpira tu unarusha ngumi,!! Mashabiki wengi wa yanga ni vichwa maji sana hohehahe
Huyo shabiki wa yanga aliyempiga mwenzake ni mjinga tu,Jamaa bora angemrudishia tu kama vipi amtafute amshikishe adabu mpira tu unarusha ngumi,!! Mashabiki wengi wa yanga ni vichwa maji sana hohehahe
desayi JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 3,593 Reaction score 5,848 Mar 8, 2025 #24 Ndo hawa mabaunsa walioleta fujo jana