Shabiki wa Simba apigwa mbele ya Ali Kamwe, Yanga na shabiki wachukuliwe hatua kali kwa hili

Shabiki wa Simba apigwa mbele ya Ali Kamwe, Yanga na shabiki wachukuliwe hatua kali kwa hili

Gusa Achia Bahasha Update Goli.
Mwarabu kagomea Bahasha yote haya yasingetokea
 
Yanga ni timu iliyozoea kushinda kimipango mipango lakini kiukweli hawana mpira wowote.
 
Huyo shabiki wa yanga aliyempiga mwenzake ni mjinga tu,Jamaa bora angemrudishia tu kama vipi amtafute amshikishe adabu mpira tu unarusha ngumi,!!
Mashabiki wengi wa yanga ni vichwa maji sana hohehahe
 
Ndo hawa mabaunsa walioleta fujo jana
 
Back
Top Bottom