Shabiki wa Simba: Nilimbetia Mume wangu kwa Dada wa kazi kuwa Prisons ikiifunga Simba amchukue

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Dada mmoja ambaye ni Shabiki wa Simba aitwae Semeni amesema kuwa amevunja ndoa yake baada ya kumbetia mume wake Dada wa kazi endapo Prisons ikiifunga Simba amchukue Dada wa kazi awe mke wake.

"Nilimbetia mume wangu kwa Dada wa kazi, nilipoona tumepata ushindi wa goli sita kwa bila kwa mechi mbili mfululizo dhidi ya TRA na baadae dhidi ya Jwaneng nikaamua kumbetia mume wangu ambae pia ni shabiki wa Simba kuwa Prisons ikiifunga Simba amchukue Dada wa kazi awe mke wake, hapa nilipo kila nikimpigia simu mume wangu hapokei, najiandaa kurudi kijijini kwetu Songambele" alisikika Dada huyo.
 
Tuone picha ya hausigeli kwanza
 
Dah ndoa tamu sana hiyo
 
Kuwa shabiki wa Simba raha sanaa... sasa dada wa lkazi anakua mke na mke anakua mchepuko mwenye mamlaka
 
Nadhani nami huenda nikateuliwa maana uko huru sasa, naomba nikupe namba.
 
Kusema ule ukweli, mbumbumbu fc wamewachania vibaya mikeka mashabiki wao kwenye ile mechi na Prisons. Na kama nadanganya, waje hapa wakatae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…