Shabiki wa Simba: Nilimbetia Mume wangu kwa Dada wa kazi kuwa Prisons ikiifunga Simba amchukue

Dada mmoja ambaye ni Shabiki wa Simba aitwae Semeni amesema kuwa amevunja ndoa yake baada ya kumbetia mume wake Dada wa kazi endapo Prisons ikiifunga Simba amchukue Dada wa kazi awe mke wake.

"Nilimbetia mume wangu kwa Dada wa kazi, nilipoona tumepata ushindi wa goli sita kwa bila kwa mechi mbili mfululizo dhidi ya TRA na baadae dhidi ya Jwaneng nikaamua kumbetia mume wangu ambae pia ni shabiki wa Simba kuwa Prisons ikiifunga Simba amchukue Dada wa kazi awe mke wake, hapa nilipo kila nikimpigia simu mume wangu hapokei, najiandaa kurudi kijijini kwetu Songambele" alisikika Dada huyo.
Kwahiyo jamaa sasa hv anakula mzigo wa dada wa kazi kilaini kbs..hahahahaha
 
Kuna mambo mwanamke kuyashabikia hayafai,hadi anatamka ujinga huu mbele ya kadamnasi unaweza kuona jinsi amekuwa na akili mgando.
Kimsingi ushabiki qa mpira kwa mwanamke umekuja kutokana na anguko la kimaadili. Sasa ni kawaida kwa mwanamke kushangilia mpira au kwenda uwanjani au kwenye vilinge vya kuangalia mpira na kushabikia.

Zamani hakukuwa na wanawake mashabiki wa mpira. Wanawake wa hovyo na wahuni ndio wanaoshabikia mipira na siasa.
 
Habari za kimaskini zinazoletwa na maskini Kama wewe.
 
Dada mmoja ambaye ni Shabiki wa Simba aitwae Semeni amesema kuwa amevunja ndoa yake baada ya kumbetia mume wake Dada wa kazi endapo Prisons ikiifunga Simba amchukue Dada wa kazi awe mke wake.

"Nilimbetia mume wangu kwa Dada wa kazi, nilipoona tumepata ushindi wa goli sita kwa bila kwa mechi mbili mfululizo dhidi ya TRA na baadae dhidi ya Jwaneng nikaamua kumbetia mume wangu ambae pia ni shabiki wa Simba kuwa Prisons ikiifunga Simba amchukue Dada wa kazi awe mke wake, hapa nilipo kila nikimpigia simu mume wangu hapokei, najiandaa kurudi kijijini kwetu Songambele" alisikika Dada huyo.
Aahaaaaa
 
Huyu Dada atakuwa ni Kalpana
 
Back
Top Bottom