Shabiki wa Yanga anaye lialia hovyo

machozi na kulia ni ujasiriamali wake, mjini kugumu !
 
kilio nacho ni kipaji, akitoka Rais huyu aje wa kulialia labda tutatoka na sisis kama huyu
 
kilio kimempa pikipiki toka kwa manji
kilio kimemsafirisha kwenda uturuki
kilio kimefanya aangalie mpira bure bila kutoa kiingilio taifa
kilio kimempa umaarufu pia mpaka kutengewa kipind kwenye television duuh kilio hiki sijui nami nijaribu
Kilio kimempa shavu Azam ndo boss wa vipindi vya Azam anasimamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…