Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
machozi yake yamemuingizia kipato.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huo ni ugonjwa wake hata shuleni ilikua tabia yake akikosa uji
Kilio kimempa shavu Azam ndo boss wa vipindi vya Azam anasimamia.kilio kimempa pikipiki toka kwa manji
kilio kimemsafirisha kwenda uturuki
kilio kimefanya aangalie mpira bure bila kutoa kiingilio taifa
kilio kimempa umaarufu pia mpaka kutengewa kipind kwenye television duuh kilio hiki sijui nami nijaribu
Heeee umeufufua leo ni mwaka wa kumiKilio kimempa shavu Azam ndo boss wa vipindi vya Azam anasimamia.
Eeeh anniversary 😁🤣😂Heeee umeufufua leo ni mwaka wa kumi