Shabiki wa Yanga SC ahamia Simba SC baada ya mwanae kulipiwa fedha za matibabu katika Taasisi ya Moyo ya JKCI

Hakuna umaskini mbaya kama wa mawazo.
Hakuwahi kuwa mshabiki wa Yanga huyo!
 
Hakuna umaskini mbaya kama wa mawazo.
Hakuwahi kuwa mshabiki wa Yanga huyo!
Washabiki wote wa Yanga unawafahamu?

Wacheni hizo, ameiona fursa Mnyama Mnyamani pale Msimbazi.
 
Hiyo siyo soka ninayoijua mimi ila ni biashara!

Sent from my TV
 
Yanga kama imewauma vile! Sasa nyie mjengeeni nyumba na kimsomesha mtoto hadi university!!..ili arudi!

Huyo jamaa, ameonyesha tu namba Upendo wa mzazi kwa mtoto wake ulivyomkubwa, kwa mzazi yuko radhi kupoteza kila kitu mbele ya uhai wa mwanae!! Kama bado hamuelewi rudianeni na Lipuli kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ujinga uliopitiliza ! ni tuiite rushwa ya matibabu au TAKRIMA? AIBU YAKO MDOGO WANGU HAJI MANARA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…