Shabiki wa Yanga SC ahamia Simba SC baada ya mwanae kulipiwa fedha za matibabu katika Taasisi ya Moyo ya JKCI

Shabiki wa Yanga SC ahamia Simba SC baada ya mwanae kulipiwa fedha za matibabu katika Taasisi ya Moyo ya JKCI

Kusaidiana ni ubinadamu na ni vizuri kwa taasisi kufanya hivyo kwa kuangalia ubinadamu zaidi ya usimba au uyanga. lakini ninachoamini ni kuwa anaweza kusema kahamia simba mdomoni ila moyoni anajua fika kuwa ana mapenzi na timu yake ya yanga..

Mwanao keshapona hilo ni muhimu hutakiwi kuishi kwa kupretend ili kuwafurahisha watu, fuata sauti ya moyo wako na uendelee kuishabikia timu unayoipenda ( mimi ni mwanasimba toka utotoni)..sioni ni namna gani naweza kuhama
 
All in all utaratibu wa Simba kuikumbuka jamii angalau mara moja kwa mwaka ni wa kuungwa mkono na kuigwa na vilabu vingine pia.
 
Mapenzi ya mzazi kwa mtoto huwezi kufananisha na mapenzi ya club,amefanyiwa fadhila na yeye kampenda aliyemfanyia fadhila
 
Unaweza kuhama mdomoni lakini si moyoni
Kwahivyo hata akija uwanjani amevaa Jezi Nyekundu moyoni atakuwa na Jezi ya Njano?

Aliyehama, kahama tu mkuu
 
Sikilizeni nyinyi vyura kuhama team mbona inawezekana kwa sababu kama hiyo.
Damu nzito kuliko maji.

Hata baba yake Luke Shaw aliacha kushangilia Chelsea na kuhamia Manchester utd baada ya mwanawe kusajiliwa na Manchester utd
 
Kuna vitu vingine vinachekeshaga sana aisee! Habari KUBWAAAAAA.......Utadhani wamemsajili Kamusoko.
 
Kuna vitu vingine vinachekeshaga sana aisee! Habari KUBWAAAAAA.......Utadhani wamemsajili Kamusoko.
Huyo naye ni mchezaji.. Imekufukuta kweli mshabiki ndaki ndaki kuhamia pale Msimbazi eeh...!

This is Simba..!
 
Imekufukuta kweli mshabiki ndaki ndaki kuhamia pale Msimbazi eeh...!

This is Simba..!


Angekuwa mwanachama ni kweli ingeniuma, kwasababu wanachama tunamichango mikubwa sana kifedha Klabuni. Huyo ni shabiki....kama ilivyo ainishwa kwenye kichwa cha uzi.

Jua kutofautisha "mwanachana wa klabu" & "shabiki wa klabu".
 
Back
Top Bottom