Shabiki wa Yanga SC ahamia Simba SC baada ya mwanae kulipiwa fedha za matibabu katika Taasisi ya Moyo ya JKCI

Shabiki wa Yanga SC ahamia Simba SC baada ya mwanae kulipiwa fedha za matibabu katika Taasisi ya Moyo ya JKCI

Ghazwat: Soma post za watu wanaotumia akili zao za kumkichwa jinsi wanavyo dadavua masuala kwa mifano iliyo enda shule. 😀😀😀
Nishamjibu, anachoongea ndicho kinafanyika, hospitalini wanasaidiwa na Yatima pia

Picha ya ushahidi nimemuwekea katika kumquote. Hakuna jipya labda lingine
 
Kwahivyo kama Mwanachama anachangia kwa kulipia Kadi yake, basi hata shabiki naye kule kuingia uwanjani ni mchango kwa Klabu

Ndo maana Vilabu vyote duniani hulilia kupata viwanja vikubwa kwa ajili ya wanachama na mashabiki.

Na ndio maana wakapewa majina mawili tofauti. Tena kulingana na mchango wao kwenye Klabu. Umeona hapo ehh? Huyu Mwanachama/, Yule shabiki.

Sasa huyo shabiki wa Yanga ambaye ni Daktari anapataje kuhudhuria game za Klabu yake (Ili angalau aichangie gate collection) ikiwa ana shift za kuhudumia wagonjwa hospitalini...?
 
Nishamjibu, anachoongea ndicho kinafanyika, hospitalini wanasaidiwa na Yatima pia

Picha ya ushahidi nimemuwekea katika kumquote. Hakuna jipya labda lingine
Naona umeijibu paragraph ya pili tu. Na ile ya kwanza umeikimbia kama ukoma.
 
Hujaelewa hebu soma tena alichoa andika. 😀
Wewe ndo usome tena, kaandika kuhusu Yatima, Jezi jamaa kupewa Sh 10,000 na kuhusu hospitali baada ya kusema kuhama mshabiki haiwezekani, huo ni mtazamo wake.!

Lakini shabiki tunae pale Msimbazi
 
Wewe ndo usome tena, kaandika kuhusu Yatima, Jezi jamaa kupewa Sh 10,000 na kuhusu hospitali baada ya kusema kuhama mshabiki haiwezekani, huo ni mtazamo wake.!

Lakini shabiki tunae pale Msimbazi
Mbona unakwepamaswali...?

Bibie amekuuliza ushawai ona mtu anahama Kabila lake. Kwasababu haijawahi?
 
Safi mkuu.. Yaani timu imekufanyia hisani kwa mtoto wako, kuna cha kusubiri tena

This is Simba bhana..!

Amesema amehama yeye na familia yake(Yeye + Mke + Mtoto).

Nipe namba yake huyo jamaa anishauri jinsi ya kumshawishi Mke wangu aache kushabikia Real Madrid naaanze kushabikia Barca, tena ashabikie kwa dhati kabisa kutoka uvungu wa moyo wake.
 
Mbona amemsemea baba yake? 😀😀😀😀😀

Tunataka baba mwenyewe aonekane akinena kama daktari wa muhimbili alivyotangawa wazi kuwa "Yeye na familia yake wamehama"
Acha kuchachawa. Unataka Ushahidi unavyotaka wewe Kinyume uhalisia ulivyo
 
Umeona wapi shahidi anawakilishwa mahakamani...? au ndio unajitoa ufahamu.
Unatafuta kwa kutokea tu. Pole sana, Yamkini leo utaacha ubishi wa kudai ushahidi kwa vile umeumia mno

Shubamit [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji4]
 
Back
Top Bottom