Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
- Thread starter
- #121
Huwa mnasema tu kwa mdomo. Pindi yakiwafika matatizo mnakuwa wepesi kama sufiNiko tayari kufa na maradhi yanayonisumbua kuliko kuchangiwa fedha na Simba halafu eti nihamie huko!
Mimi nikiwa Yanga, kupewa fedha na Simba ni kichefuchefu kabisa bila kujali hali niliyonayo kiuchumi na hata kiafya, ni sawa na kupewa mavi ya binadamu (tena uharo) hata kama ni fedha nyingi kiasi gani!
La msingi matatizo omba yasikufike, na huyo hakununuliwa wala ulaghai, bali imetokea tu bahati
Ila yeye kwa wema aliyefanyiwa hana cha kuwalipa Simba SC, akaona ahamishe mapenzi pale Msimbazi.