Kusaidiana ni ubinadamu na ni vizuri kwa taasisi kufanya hivyo kwa kuangalia ubinadamu zaidi ya usimba au uyanga. lakini ninachoamini ni kuwa anaweza kusema kahamia simba mdomoni ila moyoni anajua fika kuwa ana mapenzi na timu yake ya yanga..
Mwanao keshapona hilo ni muhimu hutakiwi kuishi kwa kupretend ili kuwafurahisha watu, fuata sauti ya moyo wako na uendelee kuishabikia timu unayoipenda ( mimi ni mwanasimba toka utotoni)..sioni ni namna gani naweza kuhama