Shabiki wa Yanga SC ahamia Simba SC baada ya mwanae kulipiwa fedha za matibabu katika Taasisi ya Moyo ya JKCI

Unatafuta kwa kutokea tu. Pole sana, Yamkini leo utaacha ubishi wa kudai ushahidi kwa vile umeumia mno

Shubamit [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji4]
Endelea tu kukwepa sindano za moto. 😀😀


Nimekuulizamshale mmoja: "Umeona wapi Shahidi anawakilishwa mahakamani"? umetoka nduki.
 
Endelea tu kukwepa sindano za moto. 😀😀


Nimekuulizamshale mmoja: "Umeona wapi Shahidi anawakilishwa mahakamani"? umetoka nduki.
Usijifanye hamnazo, hicho Kimondo hutakaa uje usahau. Hivyo ndo Simba SC walivyo

Kalale nacho..
 
Bila shaka utakuwa mdhabiki wa Arsenal mkuu
Urahisi wa kuhama timu na ugumu wake tunaujua mashabiki wa Asenali.

Nilijaribu kuhama lakini nilijikuta nina jifanyia unafiki mimi mwenyewe. Nikaamuakukubali tu kufa kibudu..😀😀
 
Ni ngumu sana kuhama timu.
Tukio lenyewe ni zito. miaka mitatu anahangaika kusaka milioni 2 bila mafanikio, kisha bila kutarajia wanakuja wana simba kimchezo mchezo wanaokoa uhai wa mwanao....hiyo ni furaha yake baada ya huzuni ya muda mrefu. Asante sana SIMBA SPORTS CLUB kuokoa maisha ya kijana huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe humjui Haji manara. Alkua Yanga na alichezea yanga kids

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni bure..loh!!! Haji Manara ni mtoto wa Sunday Manara " computer" aliyewika vilivyo na yanga. Sunday ni mdogo wa Kitwana Manara "Popat" na pia Sunday ni kaka wa Kasim ambao wote ni wachezaji wa zamani wa yanga, ingawa Kassim aling'ara zaidi akiwa Pan African na baadaye alihamia ulaya alikosakata soka mpaka mauti yalipomkuta. Hajji Manara kijana wa jangwani Kariakoo DSM hajawahi kushabikia yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ukweli kabisa. Watu hawatafakari kwa kina, wema kama huu utasubiri nini? Kwa ajili yeye hawezi kuilipa Klabu ya Simba

Furaha yake na shukrani zake ni kuhamia Simba ndo ameona, sasa hawa wacha wabakie hivyo hivyo, wataelewa mbeleni.
 
Urahisi wa kuhama timu na ugumu wake tunaujua mashabiki wa Asenali.

Nilijaribu kuhama lakini nilijikuta nina jifanyia unafiki mimi mwenyewe. Nikaamuakukubali tu kufa kibudu..😀😀
[emoji81] [emoji81] [emoji85]
Ni kweli kabisa mkuu maana hata mimi nilishindwa kufanya hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ngumu sana kuhama timu.
Niko tayari kufa na maradhi yanayonisumbua kuliko kuchangiwa fedha na Simba halafu eti nihamie huko!

Mimi nikiwa Yanga, kupewa fedha na Simba ni kichefuchefu kabisa bila kujali hali niliyonayo kiuchumi na hata kiafya, ni sawa na kupewa mavi ya binadamu (tena uharo) hata kama ni fedha nyingi kiasi gani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…