Huwa mnasema tu kwa mdomo. Pindi yakiwafika matatizo mnakuwa wepesi kama sufiNiko tayari kufa na maradhi yanayonisumbua kuliko kuchangiwa fedha na Simba halafu eti nihamie huko!
Mimi nikiwa Yanga, kupewa fedha na Simba ni kichefuchefu kabisa bila kujali hali niliyonayo kiuchumi na hata kiafya, ni sawa na kupewa mavi ya binadamu (tena uharo) hata kama ni fedha nyingi kiasi gani!
Narudia tena, niko tayari kufa na maradhi yaliyonifika kuliko kupokea uharo kutoka Simba.Huwa mnasema tu kwa mdomo. Pindi yakiwafika matatizo mnakuwa wepesi kama sufi
La msingi matatizo omba yasikufike, na huyo hakununuliwa wala ulaghai, bali imetokea tu bahati
Ila yeye kwa wema aliyefanyiwa hana cha kuwalipa Simba SC, akaona ahamishe mapenzi pale Msimbazi.
Si kweli, watu huwa tunahama timu kulingana na kocha au mchezaji tunaowampenda? Mfano, mimi na Michelle Platin. Alishasema wazi kuwa yeye ni shabiki wa Morinho.ni kweli kabisa ni rahisi zaidi kuhama chama lakini sio timu.....hata ukihongwa na kurubuniwa kama madiwani wa chadema timu kuhama ni ngumu sana ndomana mashabikk wa arsenal wanabaki wanalalamika tuu kila siku ila bado hawahami
Mbona yule mshabiki wa kulialia wa Yanga fc, amehamia Azam sc, baada ya wanalambalamba hao kumnunua na kumpatia kazi.Huyu utakuwa shabiki mandazi!Simba na yanga hazihamwi