OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Yanga sio WANAWAKE.Yanga ikifungwa au iki draw lawama zote kwa timu ya Simba,Mo au Bugati.
Mashabiki wa Uto ni lini mtaamka kuwakataa viongozi wenu wasanii?
Vidimbwi wamechanganyikiwa hata hawajui wanataka niniYanga ikifungwa au iki draw lawama zote kwa timu ya Simba,Mo au Bugati.
Mashabiki wa Uto ni lini mtaamka kuwakataa viongozi wenu wasanii?
Tatzo la Yanga wameukamia ubingwa msimu huu afu tatzo Mnyama anawapumulia mgongoni.Vidimbwi wamechanganyikiwa hata hawajui wanataka niniView attachment 1703602