Shabiki wa Yanga: Simba SC zinacheza hela, sio wachezaji

Shabiki wa Yanga: Simba SC zinacheza hela, sio wachezaji

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Hawa watu wanahitaji msaada wa kisaikolojia. TFF watoe onyo kwa Yanga na mashabiki wao,ipo siku watasababisha vurugu kubwa sana itakuwa too late. Wasiachwe hivi. Kwa upuuzi huu kuna siku watakuja kuzua vurugu kubwa.



Cheki tofauti kabisa na mashabiki wa Simba Sc,ni wastaarabu wametulia,wanatamba na kujiamini. Wakipata matokeo mabaya wanalaumiana na wachezaji wao. Sasa angalia hawa utopolo wamedroo na Mbeya City wanalaumu Simba Sc,anaulizwa kiwango cha wachezaji anajibu Sarpong ni machine. Haaaa haaa

 
Senzo mtu makini kwenye soka anashindwa kweli kuwapa direction Yanga?
Kwanini wanashindwa kumtumia uyu mtu ili awatoe walipo kwenye ushamba na utaahira?
 
Back
Top Bottom