Shades of Magufuli - Kazi nzuri toka kwa kijana Mzalendo

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
19,981
Reaction score
35,581
Sanaa nzuri kabisaa toka kwa Kijana mzalendo kabisa wa kitanzania

Screenshot_20210709-010211.jpg

Mwamba Tanzania, shujaa wa Afrika na Rais wa karne

Endelea kupumzika kwa amani President John Pombe Magufuli 🕊🙏
 
Binamu, mchoraji kadanganya, Magufuli alikuwa anavaa makoti makubwa aisee, yaani bonge la mjumba. Kumchora akiwa amevalia slim suit ni kumdhihaki.

Achorwe na makoti yake oversized vilevile
 
Mchoro iludiiiiiweeee
 
Sanamu zitajengwa, taasisi zitaanzishwa, michoro itachorwa na mengine mengiiii
Tatizo tunaishia kujenga misanamu, lakini tunabomoa harakati zake nzuri za uzalendo na maendeleo kwa taifa. Unafiki huo kipimo chake hata Albert Einstein hakukivumbua!!!
 
Binamu, mchoraji kadanganya, Magufuli alikuwa anavaa makoti makubwa aisee, yaani bonge la mjumba. Kumchora akiwa amevalia slim suit ni kumdhihaki.

Achorwe na makoti yake oversized vilevile

Nimecheka balaaa binamu hahahaaa. Kwa hiyo ACHORWE TENA?
 
Tatizo tunaishia kujenga misanamu, lakini tunabomoa harakati zake nzuri za uzalendo na maendeleo kwa taifa. Unafiki huo kipimo chake hata Albert Einstein hakukivumbua!!!

Wanajaribu ila sio rahisi kivile
 
Back
Top Bottom