Tunasubiri majibu yaoWachambuzi ๐๐ก๐๐๐๐ข ๐๐๐ฎ๐๐ & ๐๐๐ฆ๐๐๐๐ซ ๐๐๐ข๐ mna maoni gani kuhusu timu ya Yanga kubadili kikosi na kuamua kuwaweka Job, Paccome, Aziz & Chama nje? Hakuna tuhuma za kupanga matokeo hapa? Je ni kweli GSM anahusika na kuharibu ligi yetu? Tunasubiri makala zenu Waheshimiwa. ๐
View attachment 3254987
Mimi mwenyewe sielewi hasa mleta mada anataka kusema nini. Kina kitu kinaitwa "logic" nadhani hakijui ndiyo maana hoja yake ina mapengo.Bado Sijaelewa. Nitarudi baadaye