๐’๐ก๐š๐Ÿ๐Ÿ๐ข ๐ƒ๐š๐ฎ๐๐š & ๐‰๐ž๐ฆ๐ž๐๐š๐ซ ๐’๐š๐ข๐ mna maoni gani kuhusu timu ya Yanga kubadili kikosi

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Wachambuzi ๐’๐ก๐š๐Ÿ๐Ÿ๐ข ๐ƒ๐š๐ฎ๐๐š & ๐‰๐ž๐ฆ๐ž๐๐š๐ซ ๐’๐š๐ข๐ mna maoni gani kuhusu timu ya Yanga kubadili kikosi na kuamua kuwaweka Job, Paccome, Aziz & Chama nje? Hakuna tuhuma za kupanga matokeo hapa? Je ni kweli GSM anahusika na kuharibu ligi yetu? Tunasubiri makala zenu Waheshimiwa. ๐Ÿ˜€
1740851098202.jpg
 
Wale chuki inawaziba macho wasione
Mchezaji kasajiliwa na team na analipwa ila hawataki acheze
JKt walipewa penalty ya Bure kabisa dhidi ya ken gold ila husikii kelele za memedari
 
Tunasubiri waseme kuwa GSM anaharibu team
 
Wachambuzi ๐’๐ก๐š๐Ÿ๐Ÿ๐ข ๐ƒ๐š๐ฎ๐๐š & ๐‰๐ž๐ฆ๐ž๐๐š๐ซ ๐’๐š๐ข๐ mna maoni gani kuhusu timu ya Yanga kubadili kikosi na kuamua kuwaweka Job, Paccome, Aziz & Chama nje? Hakuna tuhuma za kupanga matokeo hapa? Je ni kweli GSM anahusika na kuharibu ligi yetu? Tunasubiri makala zenu Waheshimiwa. ๐Ÿ˜€
View attachment 3254987
Tunasubiri majibu yao
 
Back
Top Bottom