Shaffi Dauda punguza uropokaji

Shaffi Dauda punguza uropokaji

Hadrianus

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
2,112
Reaction score
5,229
Katika kipindi cha Sports Extra jumapili nilimsikia Shaffi Dauda akizungumzia michuano ya CAF CHAMPIONS LEAGUE hatua ya awali.

Mechi aliyokua anaizungumzia ni Plateau vs Simba, aliponda sana ushindi wa Simba kwa kusema "klabu za Nigeria hazina kipaumbele na michuano ya Vilabu Afrika"

Sasa jambo la kujiuliza kwanini wanapeleka wawakilishi kwenye michuano hiyo?

Dauda umekua mtu wa kutafuta kiki kwa hivi vilabu viwili, punguza uropokaji na ujuaji usio na maana.
 
Ni kweli...hivyo vilabu si Nigeria tu bali Africa Magharibi...vipaumbele vyao ni kuuza wachezaji Ulaya huko na hata Afrika ya Kusini au Kaskazini.
Wangekua wameweka vipaumbele kwenye hili kombe wangejidhatiti kwenye usajili wa wachezaji wakubwa lakini hawana habari vilabu vyao no kawaida tu hata Enyimba imebaki jina tu.
 
hata waarabu wanasajili kwa ajili ya kombe lao la nchi za kiarabu, unaambiwa ilo kombe lina pesa balaa. . CAF wanachukua kwa sababu tu ya ubora wa timu zao
 
Ni kweli...hivyo vilabu si Nigeria tu bali Africa Magharibi...vipaumbele vyao ni kuuza wachezaji Ulaya huko na hata Afrika ya Kusini au Kaskazini.
Wangekua wameweka vipaumbele kwenye hili kombe wangejidhatiti kwenye usajili wa wachezaji wakubwa lakini hawana habari vilabu vyao no kawaida tu hata Enyimba imebaki jina tu.
Utopolo mnateseka
 
we jamaa acha unafiki...huwezi kumuhukumu mtu kwa sentensi moja.Mimi nilisikiliza kipindi na ALICHOMAANISHA sio hicho unachokisema.

acha ROHO MBAYA na WIVU mkuu
 
mi mshabiki wa simba ila katika watangazaji wanaojitahidi kubalansi dauda namba moja yeye na maestro,kwanza wote wanazi wa simba,shafih dauda ashachezea simba,maestro alikuwa afc arusha kama beki akaja kuwa kiongozi simba hadi mkurugenzi wa ufundi lakini hat siku moja hawjafikia u nazi wa maulid kitenge na watangazji wengi wanaoipeda utopolo
 
Katika kipindi cha Sports Extra jumapili nilimsikia Shaffi Dauda akizungumzia michuano ya CAF CHAMPIONS LEAGUE hatua ya awali.

Mechi aliyokua anaizungumzia ni Plateau vs Simba, aliponda sana ushindi wa Simba kwa kusema "klabu za Nigeria hazina kipaumbele na michuano ya Vilabu Afrika"

Sasa jambo la kujiuliza kwanini wanapeleka wawakilishi kwenye michuano hiyo?

Dauda umekua mtu wa kutafuta kiki kwa hivi vilabu viwili, punguza uropokaji na ujuaji usio na maana.
Pitia website ya caf uone kama kuna timu ya nigeria iliyongia hatua ya makundi klabu bingwa au shirikisho miaka ya hivi karibuni
 
Enyimba imetolewa robo fainali ya shirikisho mwaka huu.. na msimu uliopita ilitolewa semi final
 
Attachments

  • Screenshot_20201202-004922_Firefox.jpg
    Screenshot_20201202-004922_Firefox.jpg
    79.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom