Hadrianus
JF-Expert Member
- Feb 19, 2020
- 2,112
- 5,229
Katika kipindi cha Sports Extra jumapili nilimsikia Shaffi Dauda akizungumzia michuano ya CAF CHAMPIONS LEAGUE hatua ya awali.
Mechi aliyokua anaizungumzia ni Plateau vs Simba, aliponda sana ushindi wa Simba kwa kusema "klabu za Nigeria hazina kipaumbele na michuano ya Vilabu Afrika"
Sasa jambo la kujiuliza kwanini wanapeleka wawakilishi kwenye michuano hiyo?
Dauda umekua mtu wa kutafuta kiki kwa hivi vilabu viwili, punguza uropokaji na ujuaji usio na maana.