Utopolo mnatesekaNi kweli...hivyo vilabu si Nigeria tu bali Africa Magharibi...vipaumbele vyao ni kuuza wachezaji Ulaya huko na hata Afrika ya Kusini au Kaskazini.
Wangekua wameweka vipaumbele kwenye hili kombe wangejidhatiti kwenye usajili wa wachezaji wakubwa lakini hawana habari vilabu vyao no kawaida tu hata Enyimba imebaki jina tu.
Sijawahi kuwa Utopolo...nimemuelezea tu ukweli...ushabiki si kuongea uongo...kuongea uongo ni burudani nyingine kabisa na ina mashabiki zake.Utopolo mnateseka
Pitia website ya caf uone kama kuna timu ya nigeria iliyongia hatua ya makundi klabu bingwa au shirikisho miaka ya hivi karibuniKatika kipindi cha Sports Extra jumapili nilimsikia Shaffi Dauda akizungumzia michuano ya CAF CHAMPIONS LEAGUE hatua ya awali.
Mechi aliyokua anaizungumzia ni Plateau vs Simba, aliponda sana ushindi wa Simba kwa kusema "klabu za Nigeria hazina kipaumbele na michuano ya Vilabu Afrika"
Sasa jambo la kujiuliza kwanini wanapeleka wawakilishi kwenye michuano hiyo?
Dauda umekua mtu wa kutafuta kiki kwa hivi vilabu viwili, punguza uropokaji na ujuaji usio na maana.
Pitia website ya caf uone kama kuna timu ya nigeria iliyongia hatua ya makundi klabu bingwa au shirikisho miaka ya hivi karibuni
Enyimba ametolewa na Horoya quarter final mwaka huu kwenye Confederation cup au hujui???? Enyimba sio timu ya Nigeria??? Fanyeni utafiti sio kila kitu ndio tu.Pitia website ya caf uone kama kuna timu ya nigeria iliyongia hatua ya makundi klabu bingwa au shirikisho miaka ya hivi karibuni