Shaffi kwa nini humkubali Ronaldo?

Very low kwani alipochaguliwa player bora wa dunia mara 5 alilinganishwa na lipuli?for ur information FiFA league bora ya kwanza duniani ni Spain for almost10 years consecutively
 
Kwa goli la Jana dunia ili overreact tu...
Lile ni goli la kawaida kila siku watu wanafunga tena katika mazingira magumu.
Lakini kisa Jana aliefunga ni Ronaldo basi people were all over licking his arsehole...
Ha ha ha tell them [emoji23][emoji23][emoji23]
 
We haujui mpira,, point yako ni kuhama timu
 
Acha ushamba! Toka lini kipimo cha ubora kikawa ni idadi ya ligi ulizocheza.
Mbona wengi wanaishia kuwa wazururaji tu na hawaambulii hata ballon d'Or moja.

Cha msingi usiwe limbukeni wa kumchambua Messi kwa mitazamo ya Waingereza wanaokwazika na staa huyo kutokutia mguu kwenye ligi yao.
 
Matatizo ya kujua mambo ya soka kwa njia za kubeti yanajidhihirisha hapa
 
Waswahili utawaweza na Mpira Wa mdomoni!!!!!!!
 
Mess alichomzid Ronaldo ni ball control tu basi akuna kingine mess amezaliw na kipaji chake miguuni but uyu mreno amekitafuta kipaji na amekipata kwaiyo kiupande wangu in ball control MESS yupo juu ila kwenye mambo mengine uwanjani ronaldo yupo juu ni mtazamo tu
 
Kwa goli la Jana dunia ili overreact tu...
Lile ni goli la kawaida kila siku watu wanafunga tena katika mazingira magumu.
Lakini kisa Jana aliefunga ni Ronaldo basi people were all over licking his arsehole...
[emoji23] [emoji23] ukweli mtupu, goli limekuzwa kisa kafunga Ronaldo nothing more ni la kawaida tu
 
Very low kwani alipochaguliwa player bora wa dunia mara 5 alilinganishwa na lipuli?for ur information FiFA league bora ya kwanza duniani ni Spain for almost10 years consecutively
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanazi wa Messi mmesubiri leo atupie lakini katoka kapa!!
Hakuna goli wala assist!
Na bado Cr7 atamnyoosha mpaka anyoe sharubu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…