Mazala1331
New Member
- Mar 16, 2018
- 1
- 3
Mimi ni muumini wa watu wanaomaster variety of things na kubaki the best!
Messi anachojua ni Mpira tu tena wa ligi ya Spain!
Akijichanganya kula bata na totoz kama cr7 mwezi mmoja tu, ataishia kusajiliwa na Njombe Mji!
Kama kweli ni mfalme wa football ahame timu achilia mbali league tuone
Hii point ya kuhama timu waga ni ya wapuuzi, mtu kama anajua, ni anajua tu.
Ila sio uwapeleke Cr7 au Messi huko Bolton wanderers!! Hawawezi kupafom vizuri maana hata wao wamefika hapo kutokana na kuzungukwa na watu wanaojua mpira, tena world class players