Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Leo nina swali moja tu, nani anamtuma shaffih kuitukana na kuisakama Yanga? yaani wachezaji wetu wahuni? Huyu inabidi afunzwe adabu kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] dahKwani uwongo refa matako kavunja rekodi ya umatako!!
Mfunzeni kwanza huyo zeruzeru aliyewaita wachezaji wa Yanga wahuni wa kuokoteza okoteza.Leo nina swali moja tu, nani anamtuma shaffih kuitukana na kuisakama Yanga? yaani wachezaji wetu wahuni? Huyu inabidi afunzwe adabu kwanza
View attachment 2018011
Refa ndiyo mhuni hasa.Yule Refa zuzu aiseeAti wachezaji wetu wameitwa wahuni.
Hao wetu ndio akina Nani ?
Ndani ya Box kuna Wachezaji WA timu zote mbili
Pamoja na mwamuzi.
Mtoa Mada anasema Shafi kawadhihaki Wachezaji waYanga
Pekee.
Huyo Refa hatutaki kumwona katika kuongoza mchezo wowote wa Ligi kuu Kwa miaka isiyopungua mitano.
Aende akasome upya Sheria za mpira.
Makosa tu ya kibinadamu ya refa hata makolo nao hupendelewa sometimes.Hivi wewe kwa kilichofanyika leo pale uwanjani, ni mchambuzi gani wa soka amekubaliana nacho?
Labda useme kuhusu ukali wa maneno aliyotumia shafii dauda kuwasilisha ujumbe wake, lakini kiukweli leo mlidevela
Yale maamuzi aliyoyafanya refa hayakufanyika bahati mbaya mpaka itafsirike kwamba ni makosa ya kibinadamu, ilikuwa ni mpango naye alikua anatimiza agizo tuMakosa tu ya kibinadamu ya refa hata makolo nao hupendelewa sometimes.