Shaffih awaita wachezaji wetu kikundi cha wahuni, huu udhalilishaji tumeuchoka sasa

Shaffih awaita wachezaji wetu kikundi cha wahuni, huu udhalilishaji tumeuchoka sasa

Lakini Hii mijadala juu ya kauli za Shaffih ni mtaji mkubwa sana kwake
 
Refa shida yake ilikuwa goli lifungwe, hayo mengine wala hakuhangaika nayo.
Nakubaliana na wewe, ndo maana hatufiki mbali kimataifa maana bongo janja janja nyingi sana
 
Uzuri ni kwamba ligi haijaisha, na matukio kama haya yanafanyika kwa Simba na Yanga. Muhimu ni kuchambua soka siyo kuchambua timu.

Kabla ya tukio la jana kulikuwa na fair competition, hili limekufa kifo cha mende baada ya jana Namungo kuikamia Yanga kama walivyofanya kwa Simba.

Tuhifadhi maneno huku tukisubiri mpaka ligi iishe ili tuwe na uchambuzi sahihi kuzihusu hizi timu mbili.
 
Sio wahuni tu walio ndani ya box ni maharamia kabisa
 
Back
Top Bottom