Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Mtu kama shaffih ukikaa kumtafakari unakuta huoni sababu na tija ya uandishi wake ! Shaffih yeye sio mwandishi wa habari ila ni mchochezi na mfitini ,akiona mahali pana mafanikio dakika moja anabadilika ,Leo anaiona simba na uongozi wote hasa upande wa mo ! Hawastahili kuiongoza ,huyohuyo shaffih wakati simba inafanya vizuri alikuwa abaisifia na wakati mwingine kuomba kusafiri na timu !ati Leo yupo na akina mangungu na kigwangala wanatumia kalamu yake kusambaratisha umoja wa viongozi wa simba ..kwanza hana balance story ,anashambulia tu upande mmoja ,kiuandishi huo ni ukanjanja! Anapiga domo tu kasuku ! Sijui nani alimwajili shaffih? Alitumia vigezo gani? Ninani huwa anafuatilia vipindi vya shaffih na akamwelewa? Shaffih ni mpiga dili anatamani madaraka lakini hatayapata mwehu huyu