Waliomfungia hawajampa barua mpaka leoHuyu Manara si kafungiwa miaka 2 kujishughulisha na soka? Au hapo anaongelea Simba Netball Club?
Wampige ban ya maisha maana tayari ameshindwa kutumikia adhabu aliyopewa.Waliomfungia hawajampa barua mpaka leo
Simba netball club!!!we ni yanga bila shaka!!Huyu Manara si kafungiwa miaka 2 kujishughulisha na soka? Au hapo anaongelea Simba Netball Club?
Hamna, ningependa tu kuona anaheshimu kifungo chake kama mwenzake Muro anavyofanya.Simba netball club!!!we ni yanga bila shaka!!
Yap hapo sawa.Hamna, ningependa tu kuona anaheshimu kifungo chake kama mwenzake Muro anavyofanya.