Shaffih Dauda acha kufuga maradhi, fuga kuku upate mayai na kitoweo

Shaffih Dauda acha kufuga maradhi, fuga kuku upate mayai na kitoweo

Hii ni sawa na kumjibu Mengi kwa yaliyoandikwa kwenye gazeti la Nipashe.

Blog ni ya Shafii Dauda lakini kuna wandishi wengi humo. Kwa nini asimjibu huyo Mbolembole moja kwa moja?

Anataka watu wanaoisifia tu Simba? After all, hayo ni mawazo ya mwandishi na si lazima iwe kweli.
 
Manara kwani adhabu yake imeshaisha?
 
Wewe Haji ulishafungiwa kujihusisha na Mpira wa Tanzania. Kwaiyo kuendelea kuizungumzia Simba ni kuendelea kukiuka Kifungo, na ni utovu wa adabu. Mimi nakushauri uludi kwenye Siasa. Kwa Lugha ambazo unazitumia hauwezi kuishi na wastaarabu wa soka. Nenda kafanye Siasa ndio sehemu kipaji chako kilipo sio soka.
 
Back
Top Bottom