Shaffih Dauda ni kirusi hatari sana kwa Simba, watch out!

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Ninasikitika sana kutokana na hali iliyopo Simba kwa sasa. Simba inapitia nyakati ngumu sana kutokana na ubovu wa viingozi waliopo na wanachama wajinga wengi wanaoyumbishwa na siasa za Simba zinazosimamiwa na watu wachache wanaofaidika na udhaifu wa timu.

Katika watu hatari sana kwa Simba iwe na mafanikio ama ikiwa imeyumba ni mtu mmoja anaitwa shaffi. Mtu huyu alihanikiza sana kwa kalamu yake Barbara aondoke Simba, hata Simba ilipokuwa inafanya vema katika mechi zake, aliongoza kuiaminisha jamii kuwa Simba si bora isipokuwa inatumia janja janja kushinda.

Leo katikati ya mgogoro wa Simba, anawasifu akina Mangungu na Try Again. Na kuna posti anasena mangungo na try again warudisha kombe la wanawake.

Kwa sasa anatumia nguvu kubwa kusema eti wanachama wauache uongozi i
utajua jinsi ya kuisaidia timu muda kama huu.

Hivi hao viongozi sio mwaka wa tatu huu wanachama wamewaacha na Simba inazidi kudidimia?

Kusema ukweli Simba itapona tu pale uongozi wote utakapojiuzulu na kutoa nafasi kwa watu wengine.
 
Ninasikitika sana kutokana na hali iliyopo Simba kwa sasa.Simba inapitia nyakati ngumu sana kutokana na ubovu wa viingozi waliopo,na wanachama wajinga wengi wanaoyumbishwa na siasa za Simba zinazosimamiwa na watu wachache wanaofaidika na udhaifu wa timu.

Katika watu hatari sana kwa Simba iwe na mafanikio ama ikiwa imeyumba,ni mtu mmoja jinga sana anaitwa shaffi.Mtu huyu alihanikiza sana kwa kalamu yake Barbara aondoke Simba,hata Simba ilipokuwa inafanya vema katika mechi zake,aliongoza kuiaminisha jamii kuwa Simba si bora isipokuwa inatumia janja janja kushinda.
Leo katikati ya mgogoro wa Simba,anawasifu akina mangungo na try again. Na kuna posti anasena mangungo na try again warudisha kombe la wanawake.
Kwa sasa anatumia nguvu kubwa kusema eti wanachama wauache uongozi itajua jinsi ya kudaidia timu muda kama huu.
Hivi hao viongozi sio mwaka wa tatu huu wanachama wamewaacha na Simba inazidi kudidimia?

Kusema ukweli Simba itapona tu pale uongozi wote utakapojiuzulu na kutoa nafasi kwa watu wengine.
Kwa nini asiuwawe huyu bwenga? Wana Simba kazi kwenu mtu wenu huyo semeni nae
 
Shafii anatetea ugali wa muhaya mwenzake CEO aliefeli Kajula! Unajua uyu Kajula ni opportunities ambae amefeli kwenye kila taasisi aliyopita! Hapo Simba ndio ameona kuna kichaka cha pesa za bure!

Nakumbuka kipindi cha CEO Barbra! Shafii alikuwa halali kila siku alikuwa anapost mara kumi kumsema Barbra mambo machafu tu! Sasa nafasi iko kwa poti mwenzake yupo kimya kama anaaga matiti.

Shafii ni wale matapeli yanayonufaika na mfumo wa kitapeli uliojaa kwenye soka la Tanzania! Uwa nacheka eti nae anautaka urais wa TFF!!
 
Ninasikitika sana kutokana na hali iliyopo Simba kwa sasa. Simba inapitia nyakati ngumu sana kutokana na ubovu wa viingozi waliopo na wanachama wajinga wengi wanaoyumbishwa na siasa za Simba zinazosimamiwa na watu wachache wanaofaidika na udhaifu wa timu.

Katika watu hatari sana kwa Simba iwe na mafanikio ama ikiwa imeyumba ni mtu mmoja anaitwa shaffi. Mtu huyu alihanikiza sana kwa kalamu yake Barbara aondoke Simba, hata Simba ilipokuwa inafanya vema katika mechi zake, aliongoza kuiaminisha jamii kuwa Simba si bora isipokuwa inatumia janja janja kushinda.

Leo katikati ya mgogoro wa Simba, anawasifu akina Mangungu na Try Again. Na kuna posti anasena mangungo na try again warudisha kombe la wanawake.

Kwa sasa anatumia nguvu kubwa kusema eti wanachama wauache uongozi itajua jinsi ya kudaidia timu muda kama huu.

Hivi hao viongozi sio mwaka wa tatu huu wanachama wamewaacha na Simba inazidi kudidimia?

Kusema ukweli Simba itapona tu pale uongozi wote utakapojiuzulu na kutoa nafasi kwa watu wengine.
Mkuu, hivi unamtiliaga maanani huyu mtu kweli?
 
Kwaiyo wewe una exposure kubwa kwenye mpira kuliko shafii
Hawa waandishi si wa kuwaamini sana mkuu.Wengi wanachoangalia ni wanafaidika nini wao binafsi..Kwa hiyo hata huyo Shafii usije kushangaa kuna anachopata kwa hao mabwana
 
Leo katikati ya mgogoro wa Simba, anawasifu akina Mangungu na Try Again. Na kuna posti anasena mangungo na try again warudisha kombe la wanawake.
Sasa ulitaka mawazo yakw yafanane na yako?

Mtu katoa maoni yake unamshutumu😅😅😅
 
Back
Top Bottom