Ninasikitika sana kutokana na hali iliyopo Simba kwa sasa. Simba inapitia nyakati ngumu sana kutokana na ubovu wa viingozi waliopo na wanachama wajinga wengi wanaoyumbishwa na siasa za Simba zinazosimamiwa na watu wachache wanaofaidika na udhaifu wa timu.
Katika watu hatari sana kwa Simba iwe na mafanikio ama ikiwa imeyumba ni mtu mmoja anaitwa shaffi. Mtu huyu alihanikiza sana kwa kalamu yake Barbara aondoke Simba, hata Simba ilipokuwa inafanya vema katika mechi zake, aliongoza kuiaminisha jamii kuwa Simba si bora isipokuwa inatumia janja janja kushinda.
Leo katikati ya mgogoro wa Simba, anawasifu akina Mangungu na Try Again. Na kuna posti anasena mangungo na try again warudisha kombe la wanawake.
Kwa sasa anatumia nguvu kubwa kusema eti wanachama wauache uongozi i
utajua jinsi ya kuisaidia timu muda kama huu.
Hivi hao viongozi sio mwaka wa tatu huu wanachama wamewaacha na Simba inazidi kudidimia?
Kusema ukweli Simba itapona tu pale uongozi wote utakapojiuzulu na kutoa nafasi kwa watu wengine.